Hali ilivyo sasa, kila shilingi ina thamani

Jamani jamani hapa ndio huwa namkumbuka mzee wa ELIMU, ELIMU, ELIMU!! Yaani kwa akili zako unadhani thamani ya pesa inasababishwa na. Hizi sarakasi zinazoendelea nchini?!! Mala watu wameficha pesa, mala majizi ndio yanasema pesa imepotea mtaani!! Uchumi ni hesabu mkuu sio matamko, mbona huzungumzii thamani ya pesa ya madafu dhidi wa pesa ya kigeni?!! Kila siku ina poromoka we una tuletea hadithi za kufikirika hapa!! Na watu kama nyie ndio kizazi kinachotakiwa kwa sasa.
 
Acha ujinga.. zirudi ununue nini ?

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Yani nyi mpo JF sasa hivi maana yake hamjaenda kusali leo? Au na nyie ni morning sesheni kama mimi wakati vijijini hakuna hio?
Inna Daby
 
Ila niseme tu kwamba kupotea kwa hela za dili kwenye mzunguko ni njia mojawapo ya kuimarisha uchumi kwa watu kufanya kazi na pia kuwa na matumizi yanayoeleweka ya fedha. Kwa hili bila kububuja namsifu mheshimiwa rais. Kama ulikuwa unapiga dili katika shughuli zako lazima uone ugumu na hilo lipo wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani nyi mpo JF sasa hivi maana yake hamjaenda kusali leo? Au na nyie ni morning sesheni kama mimi wakati vijijini hakuna hio?
Inna Daby
Nani kakwambia tupo vijijn wakat tunakaa darrrrr...sis ni morning sesheni ya sa moja mpk sa 3

Alafu we ndo tukushangae si unaendaga ya sa 4
 
LURIGA you are very right. In My post I quoted these two best friend fellas @ inna and Daby
Im sure you didnt notice it.

Inna ujue hapo nimetumia google transilet.
Kama kuna grama erra nisahihishege
 
Yani nyi mpo JF sasa hivi maana yake hamjaenda kusali leo? Au na nyie ni morning sesheni kama mimi wakati vijijini hakuna hio?
Inna Daby
Hahaha kanisani mbali kinadharia Kwa mwaka unaweza kujikuta umeenda siku 3 au 1
 
Tatizo sisi watz wengi wetu tumekuwa wa kulalamika na kulaumu tu wengine. Katika dunia hii alikuwepo mzee wa msoga kila kukicha watu wanamponda kaja John kama kawa japo mimi kwa upande wangu namuona John kama hero kwa hiki kipindi kifupi alichokaa madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…