Hali ilivyo sasa, kila shilingi ina thamani

Hali ilivyo sasa, kila shilingi ina thamani

Cents zimeanza kutengenezwa upya we are going backward for good
 
LURIGA you are very right. In My post I quoted these two best friend fellas @ inna and Daby
Im sure you didnt notice it.

Inna ujue hapo nimetumia google transilet.
Kama kuna grama erra nisahihishege
Me nimeona makosa hapo tu kwenye nisahihishege.......faiza fox atakwambia ulisomea ujinga uko shulen
Me hyo lugha nyingine sijui
 
Kupanda au kushuka kwa shilingi inategemea bidhaa unazouza nje kwa wingi na si kununua kwa wingi. Kwa mfano tumepunguza kununua magari ya kifahari kwa serikali, tumepunguza safari za viongozi wetu kutalii nje ya nchi, na mengine mengi ili moja kwa moja linaongeza thamani ya pesa yetu. Kwa kifupi huitaji sana dola ya marekani kuishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom