Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
[emoji87] [emoji87] [emoji87]Hahaha kanisani mbali kinadharia Kwa mwaka unaweza kujikuta umeenda siku 3 au 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji87] [emoji87] [emoji87]Hahaha kanisani mbali kinadharia Kwa mwaka unaweza kujikuta umeenda siku 3 au 1
Nini wewe....! Kweli mniombee ase[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Me nimeona makosa hapo tu kwenye nisahihishege.......faiza fox atakwambia ulisomea ujinga uko shulen
Nimebadili. Wewe si nilikuacha kijijiniNani kakwambia tupo vijijn wakat tunakaa darrrrr...sis ni morning sesheni ya sa moja mpk sa 3
Alafu we ndo tukushangae si unaendaga ya sa 4