Hali ilivyo sasa, kila shilingi ina thamani

Hali ilivyo sasa, kila shilingi ina thamani

Moja kati ya vitu pekee watu walitamani kuvisikia ni kurejea kwa thamani na heshima ya pesa za Tanzania na Hii ndio awamu pekee katika miongo 30 iliyopita ambapo watanzania tumekua na heshima na pesa.
Ilifika kipindi mpaka shilingi hamsini,mia na mia mbili zilikosa thamani na kuonekana ni usumbufu mfukoni.
Ila kwa sasa hali ilivyongumu mia mbili imepata nguvu mpaka na vocha wametutengenezea na nguvu ya buku imerudi mahali pake hapa hapa mjini asikwambie mtu.
Ukitaka kujua pesa ina thamani mtizame abiria aliebakisha chench ya shilingi mia kwa kondakta anavyong'aka wakati kipindi ca nyuma alikua anaipotezea tu.
Kwa dalili inavyoelekea wachumi wengi wametabiri uwezekano wa sarafu za shilingi tano,kumi na ishirini kurudi katika mzunguko mwishoni mwa mwaka huu na kutumiwa katika biashara.Ilifika kipindi sarafu hizi watu walizishusha thamani na kuzitumia kwenye shughuli za kiganga hata baadhi ya wauza maduka waliogopa kuzipokea kuogopa chuma ulete ila sasa zinarudi rasmiii..
Thanks kwa awamu hii kuonyesha jinsi gani pesa inafaa kutumiwa
Kama una sarafu yako itunze soon December utaitumia

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani jamani hapa ndio huwa namkumbuka mzee wa ELIMU, ELIMU, ELIMU!! Yaani kwa akili zako unadhani thamani ya pesa inasababishwa na. Hizi sarakasi zinazoendelea nchini?!! Mala watu wameficha pesa, mala majizi ndio yanasema pesa imepotea mtaani!! Uchumi ni hesabu mkuu sio matamko, mbona huzungumzii thamani ya pesa ya madafu dhidi wa pesa ya kigeni?!! Kila siku ina poromoka we una tuletea hadithi za kufikirika hapa!! Na watu kama nyie ndio kizazi kinachotakiwa kwa sasa.
 
Acha ujinga.. zirudi ununue nini ?

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Ila niseme tu kwamba kupotea kwa hela za dili kwenye mzunguko ni njia mojawapo ya kuimarisha uchumi kwa watu kufanya kazi na pia kuwa na matumizi yanayoeleweka ya fedha. Kwa hili bila kububuja namsifu mheshimiwa rais. Kama ulikuwa unapiga dili katika shughuli zako lazima uone ugumu na hilo lipo wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani nyi mpo JF sasa hivi maana yake hamjaenda kusali leo? Au na nyie ni morning sesheni kama mimi wakati vijijini hakuna hio?
Inna Daby
Nani kakwambia tupo vijijn wakat tunakaa darrrrr...sis ni morning sesheni ya sa moja mpk sa 3

Alafu we ndo tukushangae si unaendaga ya sa 4
 
LURIGA you are very right. In My post I quoted these two best friend fellas @ inna and Daby
Im sure you didnt notice it.

Inna ujue hapo nimetumia google transilet.
Kama kuna grama erra nisahihishege
 
Yani nyi mpo JF sasa hivi maana yake hamjaenda kusali leo? Au na nyie ni morning sesheni kama mimi wakati vijijini hakuna hio?
Inna Daby
Hahaha kanisani mbali kinadharia Kwa mwaka unaweza kujikuta umeenda siku 3 au 1
 
Tatizo sisi watz wengi wetu tumekuwa wa kulalamika na kulaumu tu wengine. Katika dunia hii alikuwepo mzee wa msoga kila kukicha watu wanamponda kaja John kama kawa japo mimi kwa upande wangu namuona John kama hero kwa hiki kipindi kifupi alichokaa madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom