Hali ilivyo sasa, kila shilingi ina thamani

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
899
Reaction score
1,231
Moja kati ya vitu pekee watu walitamani kuvisikia ni kurejea kwa thamani na heshima ya pesa za Tanzania na Hii ndio awamu pekee katika miongo 30 iliyopita ambapo watanzania tumekua na heshima na pesa.

Ilifika kipindi mpaka shilingi hamsini,mia na mia mbili zilikosa thamani na kuonekana ni usumbufu mfukoni. Ila kwa sasa hali ilivyongumu mia mbili imepata nguvu mpaka na vocha wametutengenezea na nguvu ya buku imerudi mahali pake hapa hapa mjini asikwambie mtu.

Ukitaka kujua pesa ina thamani mtizame abiria aliebakisha chench ya shilingi mia kwa kondakta anavyong'aka wakati kipindi ca nyuma alikua anaipotezea tu.
Kwa dalili inavyoelekea wachumi wengi wametabiri uwezekano wa sarafu za shilingi tano,kumi na ishirini kurudi katika mzunguko mwishoni mwa mwaka huu na kutumiwa katika biashara.

Ilifika kipindi sarafu hizi watu walizishusha thamani na kuzitumia kwenye shughuli za kiganga hata baadhi ya wauza maduka waliogopa kuzipokea kuogopa chuma ulete ila sasa zinarudi rasmiii..

Thanks kwa awamu hii kuonyesha jinsi gani pesa inafaa kutumiwa
Kama una sarafu yako itunze soon December utaitumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afu kinachomata sio thamani ya sarafu. Sarafu kuwa na thamani if u r not producing haitokusaidia. Ona 1GBP = 20JPN (Estimate) lakini Japan is the 3rd largest economy!
 
kurudi kutoka wapi? ni masangoma pekee wenye izo pesa wengine tulisha zitupa mapema sana

labda benki kuu itengeneze nyingine mpya
 
watu wanadhani maisha yakiwa magumu, shillingi itapanda thamani...
what a country am i living in???
Sasa mkuu mtu hajui tofauti kati ya miaka na miongo unategemea atajua mambo ya shilingi kupanda thamani ?
 
Moja kati ya vitu pekee watu walitamani kuvisikia ni kurejea kwa thamani na heshima ya pesa za Tanzania na Hii ndio awamu pekee katika miongo 30 iliyopita ambapo watanzania tumekua na heshima na pesa.
Ilifika kipindi mpaka shilingi hamsini,mia na mia mbili zilikosa thamani na kuonekana ni usumbufu mfukoni.
Ila kwa sasa hali ilivyongumu mia mbili imepata nguvu mpaka na vocha wametutengenezea na nguvu ya buku imerudi mahali pake hapa hapa mjini asikwambie mtu.
Ukitaka kujua pesa ina thamani mtizame abiria aliebakisha chench ya shilingi mia kwa kondakta anavyong'aka wakati kipindi ca nyuma alikua anaipotezea tu.
Kwa dalili inavyoelekea wachumi wengi wametabiri uwezekano wa sarafu za shilingi tano,kumi na ishirini kurudi katika mzunguko mwishoni mwa mwaka huu na kutumiwa katika biashara.Ilifika kipindi sarafu hizi watu walizishusha thamani na kuzitumia kwenye shughuli za kiganga hata baadhi ya wauza maduka waliogopa kuzipokea kuogopa chuma ulete ila sasa zinarudi rasmiii..
Thanks kwa awamu hii kuonyesha jinsi gani pesa inafaa kutumiwa
Kama una sarafu yako itunze soon December utaitumia

Sent using Jamii Forums mobile app
Miongo 30 mkuu ??
 
Inaweza kurudi kwa njia.moja to kutoa zero mbili kwa noti ya elfu 1.na hii iwe hata kwenye mishahara. Na hii haitakuwa kupanda kwa thamani kwani mishahara itarudi chini .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja kati ya vitu pekee watu walitamani kuvisikia ni kurejea kwa thamani na heshima ya pesa za Tanzania na Hii ndio awamu pekee katika miongo 30 iliyopita ambapo watanzania tumekua na heshima na pesa.
Ilifika kipindi mpaka shilingi hamsini,mia na mia mbili zilikosa thamani na kuonekana ni usumbufu mfukoni.
Ila kwa sasa hali ilivyongumu mia mbili imepata nguvu mpaka na vocha wametutengenezea na nguvu ya buku imerudi mahali pake hapa hapa mjini asikwambie mtu.
Ukitaka kujua pesa ina thamani mtizame abiria aliebakisha chench ya shilingi mia kwa kondakta anavyong'aka wakati kipindi ca nyuma alikua anaipotezea tu.
Kwa dalili inavyoelekea wachumi wengi wametabiri uwezekano wa sarafu za shilingi tano,kumi na ishirini kurudi katika mzunguko mwishoni mwa mwaka huu na kutumiwa katika biashara.Ilifika kipindi sarafu hizi watu walizishusha thamani na kuzitumia kwenye shughuli za kiganga hata baadhi ya wauza maduka waliogopa kuzipokea kuogopa chuma ulete ila sasa zinarudi rasmiii..
Thanks kwa awamu hii kuonyesha jinsi gani pesa inafaa kutumiwa
Kama una sarafu yako itunze soon December utaitumia

Sent using Jamii Forums mobile app
Bravo.
Good analysis
Cc mahondaw.
Ooh sorry
Cc Inna
 
Back
Top Bottom