Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitu vya ovyo kabisa vinaaibisha utu wetu sana.Ndio ujue bongo ni jiji la mchongo,yaani hapo ni uso wa jiji kabisa ila Pako hivyo,unadhani wazungu Kutoka monako wakitua bongo Kwa utalii watatuonaje?Si watadhani waTz wote ni mbuzi?Maana siamini mtu mwenye Akili kuuza na kununua eneo Hilo..Utaskia maisha sijui kutafuta,blah blah blah hustleling,bullshit wabongo wabadilike,yaani washamba wajanja wengi.