Ndio ujue bongo ni jiji la mchongo,yaani hapo ni uso wa jiji kabisa ila Pako hivyo,unadhani wazungu Kutoka monako wakitua bongo Kwa utalii watatuonaje?Si watadhani waTz wote ni mbuzi?Maana siamini mtu mwenye Akili kuuza na kununua eneo Hilo..Utaskia maisha sijui kutafuta,blah blah blah hustleling,bullshit wabongo wabadilike,yaani washamba wajanja wengi.