bolivia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2021
- 3,219
- 5,475
hali ilivyo trh 29 na 30 October kwako uliwezaje kusavaivu(survive) je ulitembea umbali gani hadi kupata usafiri?
Mimi nilipangiwa kusimamia kituo cha kupigia kura pale mnazi 1, lumumba tulifika siku 1 kabla kama wasimamizi tukalala hapo ,tukalipwa posho elfu 90 lkn moyoni nilitaman sana kutoka kuungana na na vijana wenzangu kwenda kuandamana sjui maybe ALLAH,MUNGU YEHOVA, alikuwa ananitoa kwenye kifo nashukuru kwa hili,baada ya uchaguzi kuisha after 2 days tukaruhusiwa kurudi majumbani kwetu hapa ndio kimbembe kilianzia
shuka na uzi 👇👇
mfukoni nina elfu 90 ipo cash hapo tayari kila mtaa umelipuka 🔥🔥 GEN-Z hawashikik kule Goba, kimara,sinza, magomeni,tandale,tegeta,mbezi,ukonga,mbagala kuja ad huku makumbusho
wanangu wa gaza (kimara) walikuwa vinara sana 🙏📌
hakuna internet lkn kupitia simu na sms pia tukasikia mikoa kadhaa haiko nyuma kwenye kulitetea taifa lao rest easy ndugu rafik zetu watoto wetu wazazi na wapenzi wetu waliofariki katika kipindi hiki tuna Imani hatuwez kuwaangusha kamwe,
je? niliwezaje kurudi home? kutoka lumumba/mnazi mmoja dsm hadi kibaha? 👇👇 ungana nami