Hali inatisha, Kariakoo hakuna umeme, uchumi wa majenereta umerudi?

Inamaana una akili ndogo kiasi umeshindwa kung'amua concept ya hiyo comment!?
 
kuwa muwaz umejifunza ulimpinga marehem ila marehem alipambana sana kuijenga nchi na ndio maana mpk sasa hajawaacha akina Ridh one ktk familia yake
 
Magufuli is the benchmark, huwezi kuikwepa hiyo. Aliweka standard za juu sana katika uwajibikaji. Hata kwenye hesabu kuna constants kama pie nk, hazibadiliki.
 

tunapopaza sauti rejea itakuwa nini!!!maana vijana chawa wasio na adabu wanawezatujibu kwamba swala la mgao wa umeme halijawahi kupata ufumbuzi.
 
Kuishi kwa kujilazimisha kusahau historia kwa makusudi ni ujinga na ukumbafu.

Magufuli alikuwa ni "shamba darasa" ambalo watawala wa leo walitakiwa kulitumia kama mfano wa kwenda vizuri na sahihi katika safari yao ya uongozi.

Kristo na Muhamad ni wafu lakini mpaka leo hatujafungwa kimawazo ama kukatazwa kuwakumbuka kwa utume wao uliotukuka!

Sasa tunapopaza sauti na kumkumbuka Magu tuna maana hiyo.
 
vyeti feki tunawaona mnaikumbatia serikali inayolea madudu yenu
Ukame umeikumba pwan na central nzima ya Africa, sudan, Somalia, Kenya watu wameshakufa njaa...
HUYO MUNGU WENU WA CHATO ANGEFANYAJE? ANGENYESHA MVUA MAJI YATOE UMEME?
Ndio maana nyie mlimwona MUNGU, na yeye alijiona MUNGU.

DUNIA nzima imekumbwa na uhaba wa chakula huyo wenu wa chato angefanyaje?
 
Kwa hiyo MAGU ni sawa na Kristi, endeleeni kukufuru.
MAGU ni satanic icon, tena shetani kichaa anayetomba mpaka ndugu wa mkewe
 
Nchi inaongozwa na watu kwa kuangalia huyu alikuwa mtoto wa mwenyekiti wa ccm ndiyo maana umeme umekuwa wa shida nchi nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…