Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Wapinzani wa JPM mnasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukoo wa panya bukuHuo ni ukoo wa panya umeshindwa kutengeneza uchumi Kwa miaka 60 tunahitaji akili mbadala
Inamaana una akili ndogo kiasi umeshindwa kung'amua concept ya hiyo comment!?Binafsi nachukizwa na watu kumlilia Magufuli. Magufuli aliishi maisha yake na amelala, kumlilia hakusaidii chochote. Naomba niwashauri, kama kuna jambo linawakera pazeni sauti, piga kelele kuwa jambo hili linakera, acha kujificha kwenye kivuli cha Magufuli. Hii nchi ni nchi ya walio hai siyo nchi ya wafu.
Ni shetan aliyelalaKesho ataibuka mjinga mmoja aliyelipwa pesa kumtusi magufuli ili tusilalsmike umeme
Ni shetan aliyelala
Kahaba ametumika kwenye biblia....kahaba Rahabu ila sio shetaniBora shetani kuliko malaya
Kahaba ametumika kwenye biblia....kahaba Rahabu ila sio shetani
kuwa muwaz umejifunza ulimpinga marehem ila marehem alipambana sana kuijenga nchi na ndio maana mpk sasa hajawaacha akina Ridh one ktk familia yakeBinafsi nachukizwa na watu kumlilia Magufuli. Magufuli aliishi maisha yake na amelala, kumlilia hakusaidii chochote. Naomba niwashauri, kama kuna jambo linawakera pazeni sauti, piga kelele kuwa jambo hili linakera, acha kujificha kwenye kivuli cha Magufuli. Hii nchi ni nchi ya walio hai siyo nchi ya wafu.
hahaaa wapigaj mna majibu ya kifutuhi [emoji16][emoji16]Sasa mzee kwani umeme unakazi nao sana??
Magufuli is the benchmark, huwezi kuikwepa hiyo. Aliweka standard za juu sana katika uwajibikaji. Hata kwenye hesabu kuna constants kama pie nk, hazibadiliki.Binafsi nachukizwa na watu kumlilia Magufuli. Magufuli aliishi maisha yake na amelala, kumlilia hakusaidii chochote. Naomba niwashauri, kama kuna jambo linawakera pazeni sauti, piga kelele kuwa jambo hili linakera, acha kujificha kwenye kivuli cha Magufuli. Hii nchi ni nchi ya walio hai siyo nchi ya wafu.
vyeti feki tunawaona mnaikumbatia serikali inayolea madudu yenuNi shetan aliyelala
vyeti feki tunawaonaKahaba ametumika kwenye biblia....kahaba Rahabu ila sio shetani
Binafsi nachukizwa na watu kumlilia Magufuli. Magufuli aliishi maisha yake na amelala, kumlilia hakusaidii chochote. Naomba niwashauri, kama kuna jambo linawakera pazeni sauti, piga kelele kuwa jambo hili linakera, acha kujificha kwenye kivuli cha Magufuli. Hii nchi ni nchi ya walio hai siyo nchi ya wafu.
Kuishi kwa kujilazimisha kusahau historia kwa makusudi ni ujinga na ukumbafu.Binafsi nachukizwa na watu kumlilia Magufuli. Magufuli aliishi maisha yake na amelala, kumlilia hakusaidii chochote. Naomba niwashauri, kama kuna jambo linawakera pazeni sauti, piga kelele kuwa jambo hili linakera, acha kujificha kwenye kivuli cha Magufuli. Hii nchi ni nchi ya walio hai siyo nchi ya wafu.
Ukame umeikumba pwan na central nzima ya Africa, sudan, Somalia, Kenya watu wameshakufa njaa...vyeti feki tunawaona mnaikumbatia serikali inayolea madudu yenu
Kwa hiyo MAGU ni sawa na Kristi, endeleeni kukufuru.Kuishi kwa kujilazimisha kusahau historia kwa makusudi ni ujinga na ukumbafu.
Magufuli alikuwa ni "shamba darasa" ambalo watawala wa leo walitakiwa kulitumia kama mfano wa kwenda vizuri na sahihi katika safari yao ya uongozi.
Kristo na Muhamad ni wafu lakini mpaka leo hatujafungwa kimawazo ama kukatazwa kuwakumbuka kwa utume wao uliotukuka!
Sasa tunapopaza sauti na kumkumbuka Magu tuna maana hiyo.