Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Afu msimu mje na propaganda zenu za kijinga Simba inabebwa. Kwahyo huoni kwamba usajili wenu haujatulia. Tunataka msaini wachezaji wazuri angalao hata dabi iwe na msisimko sio mtu unaenda uwanjani unajua Utopolo lazma ifungwe na mnyama.Huu uzi wanaoshangaa ni watu wa simba kwanini, sijauelewa
Mmh wachezaji wazuri ni wapi bongo mkuu?! Mbona hata simba ilichukua mtibwa, lipuli n.kAfu msimu mje na propaganda zenu za kijinga Simba inabebwa. Kwahyo huoni kwamba usajili wenu haujatulia. Tunataka msaini wachezaji wazuri angalao hata dabi iwe na msisimko sio mtu unaenda uwanjani unajua Utopolo lazma ifungwe na mnyama.
Wanaunda kikosi upya, siyo jambo geni kwenye soka. Labda useme unahofia watakuwa imara kuwazidi, teh!Ndio wanaojua soka. Tunashangaa timu kusajili wachezaji 22 ndani ya msimu mmoja halafu kuwatema 15. Ni yanga tu ndio wanaweza kufanya hivyo na mashabiki wasiojua soka hawashangai.
Vp hao 22 walifanya nnWanaunda kikosi upya, siyo jambo geni kwenye soka. Labda useme unahofia watakuwa imara kuwazidi, teh!
Eymael alisema "Mashabiki wa Yanga Wanapiga makelele tu kama Manyani na Wanabweka kama Mambwa."