Hali inatisha,Yanga yatema wachezaji 15

Hali inatisha,Yanga yatema wachezaji 15

Hawa Mambwa FC aka Manyani FC sijui Watabadilika lini
 
Eymael alisema "Mashabiki wa Yanga Wanapiga makelele tu kama Manyani na Wanabweka kama Mambwa."
 
Afu msimu mje na propaganda zenu za kijinga Simba inabebwa. Kwahyo huoni kwamba usajili wenu haujatulia. Tunataka msaini wachezaji wazuri angalao hata dabi iwe na msisimko sio mtu unaenda uwanjani unajua Utopolo lazma ifungwe na mnyama.
Mmh wachezaji wazuri ni wapi bongo mkuu?! Mbona hata simba ilichukua mtibwa, lipuli n.k

Maproo ndo hao Yanga nayo inataka kusajiri sasa, so subiri tuone kwanza
 
Ndio wanaojua soka. Tunashangaa timu kusajili wachezaji 22 ndani ya msimu mmoja halafu kuwatema 15. Ni yanga tu ndio wanaweza kufanya hivyo na mashabiki wasiojua soka hawashangai.
Wanaunda kikosi upya, siyo jambo geni kwenye soka. Labda useme unahofia watakuwa imara kuwazidi, teh!
 
Back to Back aliyoisema manara naona kuchukua kombe mara 10 ahadi yake inaenda kutimia msimu huu wa nne akichukua tena,Na kama anavyosema kwa bongo hakuna timu ya kushindana nayo ni kweli kabisa maneno yake yana ukweli
 
Yani hayo majina kama yote mapya kwangu, kweli yanga vyombo vya habari viliwatenga.
 
Kweli Mbumbumbu akili yao ndogo kama alivyowaita Rage hivi kitu gani kinawauma? Kama Yanga ameona wachezaji hao mpira wao si wa kuridhisha Bodaboda FC kinawauma nini au umesahau miaka minne ilyopita ulivyokuwa unabadilisha wachezaji katika usajili sasa wewe umekazana tu hivi unataka Yanga abaki na wachezaji wabovu uendelee kumfunga
 
Back
Top Bottom