Msaada wa nini?Sawa pia nimekosa Leo naomba msaada wenu 0622730684 kama msaada wako 🙏🙏🥺
Nyuzi za kuomba hela zinafutwa , hivyo kaja kijanja , kaja kiulalo ulaloMsaada wa nini?
Mpumbavu nini kakatika mikono!Nyuzi za kuomba hela zinafutwa , hivyo kaja kijanja , kaja kiulalo ulalo
Shusha sukari madam 😄Mpumbavu nini kakatika mikono!
Ana hasira Kinyama!Shusha sukari madam 😄
Ndio umepangiwa na mfumo utafute MAISHA alafu ukishayapata hayo MAISHA unakuwa hutosheki inatakiwa kuishi sio kutafuta MAISHA.Salaam
Nianze na kutafakari kwanza asubuhi hii Hali hizi tunazokumbana nazo ni kwamba tumepangiwa au tumepanga sisi katika maisha haya tunayoishi sisi,
Nimeenda na kuwahi kabisa kibaruani na kufata vigezo vyote sijachaguliwa kufanya kazi au Leo sio siku yangu , labda nataka niende sehemu nikikosa pia basi,
Seran atakuona mkuu, Ohooo!msaada wenu 0622730684 kama msaada wako 🙏🙏🥺
NooTunapanga wenyewe!
Kwa nini mkuu!
Kwanini wewe hukuwa mmoja wa malaikambinguni?Kwa nini mkuu!
Heading inasema.... "hali inayotokea katika maisha" point yangu ni kwamba kama yamepangwa maisha kwa nini mtu akifanya kazi anapata hela na anakuwa na maisha mazuri...... kama yamepangwa kwa nini asikae tu!Kwanini wewe hukuwa mmoja wa malaikambinguni?
Kwanini hukuwa petro au hujawa ronaldo?
Point yangu ni kuwa alietufanyia machaguzi ni nani kuwa hivi Leo?
Ni sawa sijaenda mbali sna,Heading inasema.... "hali inayotokea katika maisha" point yangu ni kwamba kama yamepangwa maisha kwa nini mtu akifanya kazi anapata hela na anakuwa na maisha mazuri...... kama yamepangwa kwa nini asikae tu!