Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Kuomba tunakoelekezwa ni "kuamuru" .....to command, siyo kukariri kuwa kuna mtu yup mahali anapanga.Maisha upangi wewe ,anapanga Maanani ,muombe ili upewe.
Kuomba tunakoelekezwa ni "kuamuru" .....to command, siyo kukariri kuwa kuna mtu yup mahali anapanga.Maisha upangi wewe ,anapanga Maanani ,muombe ili upewe.
Hakika mkuu, hata mimi kuna kazi za shift mgodini unawahi kabisa ila huchaguliwi halafu mwingine amechelewa ila anapata......nikaja nikatenguka mkono nikawa hopeless, ilipita hadi miezi mitatu nikarudi nilienda mara mbili tu nikapata! nilikuwa nikikosa naepuka sana manung'uniko japokuwa ilikuwa inakera sana mkuu.Kwa mtazamo wangu, kuna mambo tumepangiwa na kuna mambo tunayachagua sisi. Huwezi kudhibiti kila kinachotokea, lakini unaweza kudhibiti juhudi, maamuzi na namna unavyokabiliana nacho. Kukosa kazi leo si mwisho—endelea kujaribu, huenda nafasi yako iko kesho.
Hosea 4:6 " Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa"Indeed mkuu! moja ya sifa ya MUNGU ni kwamba anajua yote!!! namaanisha maisha magumu ya maisha tunayokutananayo ni MUNGU amepanga?
Yani nishindwe kufanya mazoezi nipate obesity niseme mpango wa MUNGU... How come?
Ndio kama ndugu yetu leo kakosa kazi kaanza kuwaza labda maisha yanapangwa!
Kweli mkuu. Wakati mwingine tunajitahidi lakini muda haujafika. Cha muhimu usikate tamaa wala kulalamika, endelea kujaribu—mlango wako utafunguka.Hakika mkuu, hata mimi kuna kazi za shift mgodini unawahi kabisa ila huchaguliwi halafu mwingine amechelewa ila anapata......nikaja nikatenguka mkono nikawa hopeless, ilipita hadi miezi mitatu nikarudi nilienda mara mbili tu nikapata! nilikuwa nikikosa naepuka sana manung'uniko japokuwa ilikuwa inakera sana mkuu.
Hakika!¡Hosea 4:6 " Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa"
Maisha ni kama unatoka sehemu A kwenda Sehemu B ,kwenye njia utakutana na vumbi ,rough road ,milima ,mabonde ,mkeka......Mungu ameshapanga utatoka Sehemu A kwenda B ,kwahiyo hapo kati unaomba Mungu ufike salama usikutane na ajali ,wanyama wakali etcKuomba tunakoelekezwa ni "kuamuru" .....to command, siyo kukariri kuwa kuna mtu yup mahali anapanga.
Naomba ufafanuzi mkuuHapa panahitaji ufafanuzi sana, maana wengine wanaamini wengine hapana mkuu!
Tunasafari ndefu sana ya kuamka katika ulimwengu huu wa ndoto.Maisha ni kama unatoka sehemu A kwenda Sehemu B ,kwenye njia utakutana na vumbi ,rough road ,milima ,mabonde ,mkeka......Mungu ameshapanga utatoka Sehemu A kwenda B ,kwahiyo hapo kati unaomba Mungu ufike salama usikutane na ajali ,wanyama wakali etc
Umeongea kitu kikubwa sanaSisi wenyewe ni Mungu ila tumesahaulishwa na mifumo kwa makusudi
Ulinifundisha wewe KakaUmeongea kitu kikubwa sana
Ulichokiandika ungekiandika kiroho aisee ni bonge la uelewa ila mifumo imetufungafunga sana ila nimeoana kila dalili ya wewe kuamka kutoka ndotoni, Big up sana.Hii topic 🤗
Sina sababu ila naamini yamepangwa na sir God, kila mtu Mungu anajua destiny yake, kama wewe ni wa motoni utafuata certain path hapa duniani, na kama ni wa mbinguni hapa duniani matendo yako yatareflect wewe ni wa mbinguni. What I don't understand is WHY iwe hivyo...
Kwani wanawake wanaoombaomba hela kwa wanaume huwa wamekatika mikono?Mpumbavu nini kakatika mikono!
HapanaKwani wanawake wanaoombaomba hela kwa wanaume huwa wamekatika mikono?
Mifumo imewafumba ufahamu, ni wa kuamshwa tu....vichwa siyo vya kufugia nywele na kusuka mitindo mbalimbali tu.Kwani wanawake wanaoombaomba hela kwa wanaume huwa wamekatika mikono?
🤔🤔🤔🤔🤔Msaidie ndugu yako
Mwenye uzi kawazidi kete au hamjamuelewa? Kaanzisha uzi mumpatie chochote kitu nyie mnaleta mahubiri🤦🏽♀️🤔🤔🤔🤔🤔
Tatizo ni kwamba yeye kanitangulia kuanzisha uzi, Mimi nilikuwa nataka kuanzisha Uzi kama huu nikauacha baada ya kuona huu l.Mwenye uzi kawazidi kete au hamjamuelewa? Kaanzisha uzi mumpatie chochote kitu nyie mnaleta mahubiri🤦🏽♀️
Ulikuwa unataka kuomba nini?Tatizo ni kwamba yeye kanitangulia kuanzisha uzi, Mimi nilikuwa nataka kuanzisha Uzi kama huu nikauacha baada ya kuona huu l.
Sasampa 😁Ulikuwa unataka kuomba nini?