Hali inayotokea katika maisha tumepangiwa au tunapanga sisi wenyewe

Mcha MUNGU.... Sasa free will mkuu inatumika kwenye nini? Maana MUNGU alitwambia tu nendeni mkatawale na kuitiisha nchi,
1. Wale watakaomlaki Kristo — 144,000

Ufunuo 14:1

“Kisha nikaona, na tazama, huyo Mwana-Kondoo amesimama juu ya mlima Sayuni, na pamoja naye watu mia na arobaini na nne elfu, wenye jina lake na jina la Baba yake limeandikwa katika vipaji vya nyuso zao.”

Mungu anawajua walio wake tangu misingi ya ulimwengu" kuonyesha kwamba hakuna kinachomficha Mungu na kwamba wateule wake wanajulika kwake tangu mwanzo

Mkuu sasa huoni hapa kila kitu ni planned? Yani yalishajulikana tangu mwanzo, nazungumzia maisha tangu kuzaliwa kuishi na hata kufa hatma kama ni kuzim au paradiso, huoni kila kitu kikowazi?
 
Salaam

Nianze na kutafakari kwanza asubuhi hii Hali hizi tunazokumbana nazo ni kwamba tumepangiwa au tumepanga sisi katika maisha haya tunayoishi sisi,

Nimeenda na kuwahi kabisa kibaruani na kufata vigezo vyote sijachaguliwa kufanya kazi au Leo sio siku yangu , labda nataka niende sehemu nikikosa pia basi,
Katika mtazamo wa kiroho, maisha ni mchanganyiko wa mambo tuliyopangiwa na Mungu au ulimwengu (Destiny) na mambo tunayochagua sisi wenyewe kupitia uhuru wetu wa kufanya maamuzi (Free Will).

Shule nyingi za kiroho na falsafa za ndani zinaamini kuwa maisha hayajanyooka upande mmoja tu; badala yake, kuna ushirikiano mkubwa kati ya nguvu kubwa ya kiungu inayoratibu ulimwengu na nguvu ya utashi wa mwanadamu.

Mambo tuliyopangiwa yanachukuliwa kama "ramani ya msingi ya roho" uliyozaliwa nayo, ambayo iko nje ya uwezo wako wa kibinadamu kubadilisha. Hii inajumuisha vitu kama nchi uliyozaliwa, wazazi wako, vipaji vya asili, na matukio makubwa ya kichocheo yanayotokea ili kukuelekeza kwenye kusudi lako kuu la kuwepo duniani.

Kwa upande mwingine, ulimwengu umempa mwanadamu uhuru kamili wa kuchagua jinsi ya kuishi, ambapo kila wazo, neno, na tendo unalofanya leo linatengeneza kesho yako kupitia sheria ya mavuno au Karma.

Hata kama huwezi kuzuia dhoruba fulani isitokee kwenye maisha yako, una nguvu na uamuzi kamili wa kuchagua jinsi ya kuitikia, kukabiliana nayo, na kujifunza kutokana nayo.Kwa ufupi, maisha yanafananishwa na mchezo wa karata ambapo kugawiwa kadi (iwe nzuri au mbaya) ndicho ulichopangiwa,
lakini jinsi unavyozicheza kadi hizo ili ushinde au ushindwe ni mpango wako mwenyewe. Mungu au ulimwengu unaandaa uwanja na mazingira ya maisha, lakini wewe ndiye mwenye kalamu ya kuandika sura za kila siku za hatuzi yako kupitia maamuzi unayochukua.
 
Indeed mkuu! moja ya sifa ya MUNGU ni kwamba anajua yote!!! namaanisha maisha magumu ya maisha tunayokutananayo ni MUNGU amepanga?

Yani nishindwe kufanya mazoezi nipate obesity niseme mpango wa MUNGU... How come?

Ndio kama ndugu yetu leo kakosa kazi kaanza kuwaza labda maisha yanapangwa!
 
Kristo ni kukukua kwa uelewa wa mtu. Rejea " kumcha Bwana ndiyo chanzo cha maarifa". Ni maisha halisi ya kujielewa na kuelewa kusudi lako na siyo hadithi za kusubiria mawingu na ishara. Biblia imetumia mifano na ishara ila inaelezea maisha halisi ya mtu na safari yake ya kujitambua.

Umbali kati ya mbinguni na Duniani ni mawazo yako.
 
Sisi wenyewe ni Mungu ila tumesahaulishwa na mifumo kwa makusudi
 
Indeed mkuu! moja ya sifa ya MUNGU ni kwamba anajua yote!!! namaanisha maisha magumu ya maisha tunayokutananayo ni MUNGU amepanga?

Yani nishindwe kufanya mazoezi nipate obesity niseme mpango wa MUNGU... How come?

Ndio kama ndugu yetu leo kakosa kazi kaanza kuwaza labda maisha yanapangwa!
Sijasema Mungu ndio anapanga
Ila nimeuliza huu mnyororo mzima wa maisha nani kaupanga?
Destination za binadam wote Mungu anazijua, kwamba huyu wa moton huyu wa mbinguni sio?
 
Kristo ni kukukua kwa uelewa wa mtu. Rejea " kumcha Bwana ndiyo chanzo cha maarifa". Ni maisha halisi ya kujielewa na kuelewa kusudi lako na siyo hadithi za kusubiria mawingu na ishara. Biblia imetumia mifano na ishara ila inaelezea maisha halisi ya mtu na safari yake ya kujitambua.

Umbali kati ya mbinguni na Duniani ni mawazo yako.
Mkuu unataka kusema mambo ya unyakuo sijui nini sio kweli?
 
Sijasema Mungu ndio anapanga
Ila nimeuliza huu mnyororo mzima wa maisha nani kaupanga?
Destination za binadam wote Mungu anazijua, kwamba huyu wa moton huyu wa mbinguni sio?
Tatizo tuna "define" maisha tukiwa gerezani (mifumo kama Dini, Elimu, Jamii) vimetupoka kabisa mamlaka yetu ya asili tunatawaliwa na ulimwengu wa kifizikali ni kama kisa cha uvulivwa pango "an allegory of the cave".

Ukitaka kutafsiri vizuri angalia unapokuwa umelala unaota ndoto Jiulize ni nani anayepanga hayo matukio na mazingira unayoyaona, Jiulize unakuwa katika hali gani ya kuishi, na unajujuaje unaishia au la?... life is spiritual Mkuu
 
Kama umetoa mguu wako ndani ukaenda kutafuta kazi utapata tu Maana mkaa bure sio sawa na mtembea bure na Mungu pia anakuona inawezekaza sio leo ikawa kesho.
 
Salaam

Nianze na kutafakari kwanza asubuhi hii Hali hizi tunazokumbana nazo ni kwamba tumepangiwa au tumepanga sisi katika maisha haya tunayoishi sisi,

Nimeenda na kuwahi kabisa kibaruani na kufata vigezo vyote sijachaguliwa kufanya kazi au Leo sio siku yangu , labda nataka niende sehemu nikikosa pia basi,
Maisha upangi wewe ,anapanga Maanani ,muombe ili upewe.
 
Salaam

Nianze na kutafakari kwanza asubuhi hii Hali hizi tunazokumbana nazo ni kwamba tumepangiwa au tumepanga sisi katika maisha haya tunayoishi sisi,

Nimeenda na kuwahi kabisa kibaruani na kufata vigezo vyote sijachaguliwa kufanya kazi au Leo sio siku yangu , labda nataka niende sehemu nikikosa pia basi,
Kwa mtazamo wangu, kuna mambo tumepangiwa na kuna mambo tunayachagua sisi. Huwezi kudhibiti kila kinachotokea, lakini unaweza kudhibiti juhudi, maamuzi na namna unavyokabiliana nacho. Kukosa kazi leo si mwisho—endelea kujaribu, huenda nafasi yako iko kesho.
 
Kama umetoa mguu wako ndani ukaenda kutafuta kazi utapata tu Maana mkaa bure sio sawa na mtembea bure na Mungu pia anakuona inawezekaza sio leo ikawa kesho.
Wewe mwenyewe unajiona kwa sababu wewe ni Mungu rejea "Kaeni ndani yangu nami ndani yenu, ombeni lolote.......ukikaa ndani ya Mungu unakuwa Mungu of course tuna "Deoxyribonucleic acid" za Mungu.
 
Back
Top Bottom