Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kwa ufupi tupe undani wa kesi.Konoike wameishitaki Jamhuri kwenye mahakama nchini Marekani halafu unategemea Jamhuri itawapa tena kazi za Ujenzi?
Hii ilikuwa ni lazima tu wabwage manyanga na kurudi kwao.
Soma hapa;
LINK>>>KONOIKE CONSTRUCTION CO. LIMITED v. MINISTRY OF WORKS, TANZANIA et al (1:17-cv-01986), District Of Columbia District Court
ohooo !!!!Kwa ufupi tupe undani wa kesi.
Acha uvivu wa kusoma.Kwa ufupi tupe undani wa kesi.
Huyu ni kama traffic Police wetu amekukamata anachukua leseni yako ya udereva anaanza kuandika makossa yako halafu anakuuliza ………...Ri jina rako nani????Acha uvivu wa kusoma.
Nimekupa link halafu bado unataka undani wa kesi?
Gonga hiyo link na utapata undani wa kesi.
hapo tukae mkao wa ndege yetu nyingine kushikiliwa, hakuna namna!!Konoike wameishitaki Jamhuri kwenye mahakama nchini Marekani halafu unategemea Jamhuri itawapa tena kazi za Ujenzi?
Hii ilikuwa ni lazima tu wabwage manyanga na kurudi kwao kama kweli wameondoka.
Soma hapa;
LINK>>>KONOIKE CONSTRUCTION CO. LIMITED v. MINISTRY OF WORKS, TANZANIA et al (1:17-cv-01986), District Of Columbia District Court
Na NATIONAL PANASONIC wameondoka kwa lipi?Konoike wameishitaki Jamhuri kwenye mahakama nchini Marekani halafu unategemea Jamhuri itawapa tena kazi za Ujenzi?
Hii ilikuwa ni lazima tu wabwage manyanga na kurudi kwao kama kweli wameondoka.
Soma hapa;
LINK>>>KONOIKE CONSTRUCTION CO. LIMITED v. MINISTRY OF WORKS, TANZANIA et al (1:17-cv-01986), District Of Columbia District Court
Mkuu ni sawa na kuniambia nikajikasomee shahada ya kwanza sheria.Acha uvivu wa kusoma.
Nimekupa link halafu bado unataka undani wa kesi?
Gonga hiyo link na utapata undani wa kesi.
Konoike
wameishitaki Jamhuri kwenye mahakama nchini Marekani halafu unategemea Jamhuri itawapa tena kazi za Ujenzi?
Hii ilikuwa ni lazima tu wabwage manyanga na kurudi kwao kama kweli wameondoka.
Soma hapa;
LINK>>>KONOIKE CONSTRUCTION CO. LIMITED v. MINISTRY OF WORKS, TANZANIA et al (1:17-cv-01986), District Of Columbia District Court
Tàifa lenye kukaribisha majangaKonoike wameishitaki Jamhuri kwenye mahakama nchini Marekani halafu unategemea Jamhuri itawapa tena kazi za Ujenzi?
Hii ilikuwa ni lazima tu wabwage manyanga na kurudi kwao kama kweli wameondoka.
Soma hapa;
LINK>>>KONOIKE CONSTRUCTION CO. LIMITED v. MINISTRY OF WORKS, TANZANIA et al (1:17-cv-01986), District Of Columbia District Court
Huo ndio mwanzo wa angukoKatika hali ambayo si ya kushangaza sana kampuni maarufu ya Kijapani ,KONOIKE, wamefungasha virago na kufunga ofisi zao Tanzania.
Haiko wazi kwa nini KONOIKE wanaondoka lakini hii ni kampuni ya pili ya Kijapani kuondoka Tanzania.
Miezi takriban minne iliyopita, NATIONAL PANASONIC, kampuni iliyokaa Tanzania karibia miaka 50 toka enzi za Mwalimu, nayo ilifungasha virago.
Tunakumbuka redio za mkulima NATIONAL 177 na 277.
Huu mtonyo ni kutoka kwa mdau Wizara inayosimamia zege.