Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Mkuu Panasonic walikuwa active walipokuwa na monopoly,biashara huria ilipoingia walishindwa ku-compete.Likewise Konoike.Sasa unazungumziaje makampuni mengi ya ujenzi ya Kichina na Korea ya Kusini yaliyojaa Tanzania mkuu, kama unasema tatizo ni hali mbaya ya ukandarasi?AkilI kama hizi ni zawadi ya ccm wala hutamani kushughulisha akili yako kujua sababu ya Panasonic kuondoka.unakariri ujinga wa jamaa yenu