Tetesi: Hali mbaya uakandarasi KONOIKE yabwaga manyanga, yafunga ofisi Tanzania.

Acha uvivu wa kusoma.

Nimekupa link halafu bado unataka undani wa kesi?

Gonga hiyo link na utapata undani wa kesi.
Hakuna mtu mjinga wa kulike uoza na ujinga,nchi mnaipeleka kuzimu
 
Konoike ni wezi kama wezi wengine.. Wai ndo walikuwa wanapewa tensa za ujenzi kwenye fedha zilizotolewa msaada na Japani. Maana yake wanarudisha nchini kwao fedha zilizoletwa na nchi yao..
 
Konoike ni wezi kama wezi wengine.. Wai ndo walikuwa wanapewa tensa za ujenzi kwenye fedha zilizotolewa msaada na Japani. Maana yake wanarudisha nchini kwao fedha zilizoletwa na nchi yao..
Hiyo ni kawaida na wala sio wizi, Mataifa yote makubwa huwa yanafanya hivyo. Ukitaka naww fanya
 
Hiyo ni kawaida na wala sio wizi, Mataifa yote makubwa huwa yanafanya hivyo. Ukitaka naww fanya
Wameshaiba sana.. Coz ata kandarasi walizokuwa wanapewa zingine walikuwa hawazikamilishi
 
Acha uvivu wa kusoma.

Nimekupa link halafu bado unataka undani wa kesi?

Gonga hiyo link na utapata undani wa kesi.
Hiyo link hata wewe inaelekea hujaisoma.
Unachojua ni copy and paste.

Swali uliloulizwa hujalijibu, hata kwa kifupi kesi ni ya kitu gani?
 
Konoike na Panasonic si ajabu kufunga virago mkuu,hawa walishajichokea siku nyingi,waondoke tu.
 
Konoike na Panasonic si ajabu kufunga virago mkuu,hawa walishajichokea siku nyingi,waondoke tu.
AkilI kama hizi ni zawadi ya ccm wala hutamani kushughulisha akili yako kujua sababu ya Panasonic kuondoka.unakariri ujinga wa jamaa yenu
 
konoike toka walipovurunda kilwa road na kutuwekea kashata za njugu,wamekua blacklisted,hawapati kazi,kuna haja gani ya kubaki na ofisi kazi hakuna?
waende tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…