Hali ngumu kwa Mayele ila ngumu zaidi kwa Inonga

Hali ngumu kwa Mayele ila ngumu zaidi kwa Inonga

Hivi huu nao ni uzi???[emoji28][emoji28]mkuu sio lazima uje na uzi kila saa
 
Kwa hiyo Mayele huko DRC anaingia dakika ya 88 kama Kapama tu
 
Hahahaa mbona makasiriko sana mkali inonga Bacca Varane hata kwenye mbao ndefu hajaonekana.
Unaongea utafikiri tuko zama za mawe wakati dkk 0 tu google anadhihirisha uharo ulioleta. Kwa nini unapenda kuumbuka ndugu yangu?
 
Sema kiboko ya makipa kama kipa wako hajawahi kutunguliwa na Aziz K pita mbele.. hahahaa
Amekuwa kiboko tena? Si tumekubaliana hersi alifanya biashara kichaa?
 
DRC walikua wanakipiga dhidi ya Mauritania leo na kuibuka na jumla ya magoli 3-1 huku mzee wa kutetema na mkali wa kuzifumania nyavu kutoka timu ya Yanga Fiston Kalala Mayele akianzia benchi na kupata angalau dakika 4 za kupasha mwili joto kwani aliingia dakika 86 japo hajatupia chuma chochote.

Huku Fiston akipata nafasi ya kuingia angalau na kupasha mwili joto mchezaji mwenzake toka Simba yeye hakujulikana hata yupo wapi hajapata hata zile dakika za nyongeza za kupasha mwili joto.

Hongera Fistoo nahisi next game utapata muda zaidi.
ila swala la mayele kutogusa mpira tangu alipoingia mpk mpira unaisha uliliona mwana yanga mwenzangu?
 
Kweli kuna levels katika haya maisha. Yaani Mayele ambaye ni kama mungu pale Yanga, huko DRC anaingizwa timu ikishajihakikishia ushindi.

ila swala la mayele kutogusa mpira tangu alipoingia mpk mpira unaisha uliliona mwana yanga mwenzangu?
 
Kweli kuna levels katika haya maisha. Yaani Mayele ambaye ni kama mungu pale Yanga, huko DRC anaingizwa timu ikishajihakikishia ushindi.
Kweli levels zipo mkuu, maana hata Mungu wetu pale msimbazi nae ameishia kukalia mbao za wachezaj wa akiba wa Chipolopolo kwa dak zote 90
 
Mo alilia sana ndani ya gari tulipo fungwa 3:0 na raja Casablanca....MO mhuni sana😅😅😅 but tunampenda
 
Kweli levels zipo mkuu, maana hata Mungu wetu pale msimbazi nae ameishia kukalia mbao za wachezaj wa akiba wa Chipolopolo kwa dak zote 90
Sijui unamzungumzia mungu yupi huyo ila ni jambo la heri maana nasikia Banda ameshaumia huko Misri.
 
Mayele is the best one nahis game ijayo lazim first eleven aanze
 
Hahahaa upumbavu tena kuna kitu nimesoma leo kanasema defence mechanism ya mashabiki wa Simba wengi ni Matusi japo mimi Simba ila najitaidi sana kuficha ujinga wangu sitaki kuwa kati ya wale mashabiki Rage aliwazungumzia.
Sawa , ila uko kwenye foleni ya wale aliowasema Manara na Luc Eymael !!!!
 
Huku Fiston akipata nafasi ya kuingia angalau na kupasha mwili joto mchezaji mwenzake toka Simba yeye hakujulikana hata yupo wapi
Aliyeingia hakugusa mpira! 😀
Kuna mwalimu wetu alituuliza, hivi mtu anayepata F zote, ana tofauti gani na tukimchukua jamaa tu kijiweni aje afanye mtihani na kupata F zote? 😀😀😀
 
Hajagusa bolu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom