Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mpenda simba gani utamfanisha na Manara (Yanga) Kwa matusi,. Mimi ni yanga lakini nilichukia ujio wa Manara Yanga Kwa sababu ya matusi yake tu.Hahahaa upumbavu tena kuna kitu nimesoma leo kanasema defence mechanism ya mashabiki wa Simba wengi ni Matusi japo mimi Simba ila najitaidi sana kuficha ujinga wangu sitaki kuwa kati ya wale mashabiki Rage aliwazungumzia.
Akili za utopolo wengi ni za kuvukia barabara wasamehe bure mkuu.Hapa tunajadili nini
Muulizeni mleta mada mayele kagusa mpira mara ngapi?Akili za utopolo wengi ni za kuvukia barabara wasamehe bure mkuu.
Huyo mumeo mayele kagusa mpira mara ngapi acha kujjinusaHahahaa jipige kifua huku ukisema hakika Rage alikua sawa 100%
Upashe mwili joto bila kupigiwa au kupata pasi mpira ukiwa unaendelea uwanjani au mwenetu unajinusa sanaUnaelewa maana ya kupasha mwili Joto huku Inonga hata zile dakika za nyongeza hakusimamishwa.
AahaaajajDRC walikua wanakipiga dhidi ya Mauritania leo na kuibuka na jumla ya magoli 3-1 huku mzee wa kutetema na mkali wa kuzifumania nyavu kutoka timu ya Yanga Fiston Kalala Mayele akianzia benchi na kupata angalau dakika 4 za kupasha mwili joto kwani aliingia dakika 86 japo hajatupia chuma chochote.
Huku Fiston akipata nafasi ya kuingia angalau na kupasha mwili joto mchezaji mwenzake toka Simba yeye hakujulikana hata yupo wapi hajapata hata zile dakika za nyongeza za kupasha mwili joto.
Hongera Fistoo nahisi next game utapata muda zaidi.
Sio shida tusubiri aziz k bdae au mzee wa kujinusa?Hahahaa mbona makasiriko sana mkali inonga Bacca Varane hata kwenye mbao ndefu hajaonekana.
Huo uSimba na uYanga utakuuausimba na u yanga utatuua
kuna wana simba walitamani taifa stars ichapwe
kuna mimi nilitamani ishinde, ila baada ya kuingia feitoto nilitaman achomeshe ngoma itoke draw wamteme taifa stars
yaani huu usimba na u yanga umesha kuwa kansa mbaya sana
Upashe mwili joto bila kupigiwa au kupata pasi mpira ukiwa unaendelea uwanjani au mwenetu unajinusa sana
Inonga kutokupangwa.Hapa tunajadili nini
Nakazia🚮 upuuzi mtupu...
Akili kubwa kama hizi hupati huko utopwoloni never...ni wachachee sana huko...Mabadiliko yanafanyika kulingana na mazingira ya mchezo au uhitaji wa aina fulani ya matokeo.
Magoli yote mawili yamepatikana katika kipindi cha kwanza, sasa
Congo ilikuwa inamiliki mpira kwa asilimia hadi 60 kwenye kipindi cha kwanza dhidi ya mpinzani wake na kufanya watawale mchezo na wakati huo mchezaji wa Mauritania alikuwa amepewa kadi nyekundu dakika ya 22
Sasa kwa mazingira hayo kocha kufanya sub kwa mabeki ni nadra sana, kwasababu hilo ni eneo ambalo halifikiwi kirahisi na upinzani.
Mpaka dakika hizo, eneo la ulinzi kwa upande wa timu ya Congo lilikuwa ni salama
Kocha kufanya sub kwa mafowadi ni maamuzi sahihi kwasababu game kaisha tawala na anachotaka ni kupata mabao mengi zaidi.
Na ndio maana hata ukiangalia katika sub alizofanya kocha utaona nafasi zote 4 amewaingiza viungo (midfielders) na washambuliaji (strikers)
Hakuna sub ya beki iliyofanyika katika kikosi cha Congo