Hali ngumu kwa Mayele ila ngumu zaidi kwa Inonga

Hali ngumu kwa Mayele ila ngumu zaidi kwa Inonga

Hahahaa upumbavu tena kuna kitu nimesoma leo kanasema defence mechanism ya mashabiki wa Simba wengi ni Matusi japo mimi Simba ila najitaidi sana kuficha ujinga wangu sitaki kuwa kati ya wale mashabiki Rage aliwazungumzia.
Hivi mpenda simba gani utamfanisha na Manara (Yanga) Kwa matusi,. Mimi ni yanga lakini nilichukia ujio wa Manara Yanga Kwa sababu ya matusi yake tu.
 
Unaelewa maana ya kupasha mwili Joto huku Inonga hata zile dakika za nyongeza hakusimamishwa.
Upashe mwili joto bila kupigiwa au kupata pasi mpira ukiwa unaendelea uwanjani au mwenetu unajinusa sana
 
DRC walikua wanakipiga dhidi ya Mauritania leo na kuibuka na jumla ya magoli 3-1 huku mzee wa kutetema na mkali wa kuzifumania nyavu kutoka timu ya Yanga Fiston Kalala Mayele akianzia benchi na kupata angalau dakika 4 za kupasha mwili joto kwani aliingia dakika 86 japo hajatupia chuma chochote.

Huku Fiston akipata nafasi ya kuingia angalau na kupasha mwili joto mchezaji mwenzake toka Simba yeye hakujulikana hata yupo wapi hajapata hata zile dakika za nyongeza za kupasha mwili joto.

Hongera Fistoo nahisi next game utapata muda zaidi.
Aahaaajaj
 
usimba na u yanga utatuua

kuna wana simba walitamani taifa stars ichapwe

kuna mimi nilitamani ishinde, ila baada ya kuingia feitoto nilitaman achomeshe ngoma itoke draw wamteme taifa stars

yaani huu usimba na u yanga umesha kuwa kansa mbaya sana
Huo uSimba na uYanga utakuua
 
Upashe mwili joto bila kupigiwa au kupata pasi mpira ukiwa unaendelea uwanjani au mwenetu unajinusa sana

Kama mahali nimesoma wanakwambia mashabiki wengi wa Simba wanapenda lugha chafu wewe ni mtu wa pili naendelea kufanya kasimpo research.

Kama ni bonus ya kucheza tu game ya leo mwana anakunja, kwani Varrane wa Drc alikua wapi.
 
Mabadiliko yanafanyika kulingana na mazingira ya mchezo au uhitaji wa aina fulani ya matokeo.

Magoli yote mawili yamepatikana katika kipindi cha kwanza, sasa

Congo ilikuwa inamiliki mpira kwa asilimia hadi 60 kwenye kipindi cha kwanza dhidi ya mpinzani wake na kufanya watawale mchezo na wakati huo mchezaji wa Mauritania alikuwa amepewa kadi nyekundu dakika ya 22

Sasa kwa mazingira hayo kocha kufanya sub kwa mabeki ni nadra sana, kwasababu hilo ni eneo ambalo halifikiwi kirahisi na upinzani.

Mpaka dakika hizo, eneo la ulinzi kwa upande wa timu ya Congo lilikuwa ni salama

Kocha kufanya sub kwa mafowadi ni maamuzi sahihi kwasababu game kaisha tawala na anachotaka ni kupata mabao mengi zaidi.

Na ndio maana hata ukiangalia katika sub alizofanya kocha utaona nafasi zote 4 amewaingiza viungo (midfielders) na washambuliaji (strikers)

Hakuna sub ya beki iliyofanyika katika kikosi cha Congo
 
Akili kubwa kama hizi hupati huko utopwoloni never...ni wachachee sana huko...
 
😆😆😆Kikubwa ameitwa na analipwa hayo mengine jadilini kwenye magroup yenu ya Yang'a
 
Back
Top Bottom