Hali ngumu sana mtaani, unaweza kuuawa kwa sababu ya Elfu 20

Hali ngumu sana mtaani, unaweza kuuawa kwa sababu ya Elfu 20

mkuu unatoka home na 100k unarudi na 400!!!
unagawa au umedondosha??kama una uwezo wa kutoka na laki asubuhi na bado unalia hali ngumu,tutake radhi ndugu yangu.
✓Hachana nao ao, ndio keyboard warriors. Maneno mengi tuuu, hata mzungu ana bajeti ya kijinga ya kutoka na laki arudi na Mia. Ukiweka ktk kiuchumi
 
mkuu unatoka home na 100k unarudi na 400!!!
unagawa au umedondosha??kama una uwezo wa kutoka na laki asubuhi na bado unalia hali ngumu,tutake radhi ndugu yangu.
Mkuu laki kwa siku ni matumizi ya kawaida tu sema tunatofautiana ufukara, mfano wafanyakazi wengi wana magari ambayo huwarahisishia usafiri kwenda makazini, lakini huwezi kuwaweka kwenye kundi la watu wenye vipato vya juu. Ukijaza tu mafuta ya kwenda na kurudi kazini, ukapita sokoni na dukani kwa mangi kidogo hiyo laki hutaiona, hapo hujapigwa mizinga ya hapa na pale na kubananishwa na trafiki barabarani.
 
Walioshangilia. Tunao
Wale wa CCM. Tunao
Waliobeba Kura kwenye Rambo. Tunao
Hata polisi sasa hivi tunao
 
Mkuu laki kwa siku ni matumizi ya kawaida tu sema tunatofautiana ufukara, mfano wafanyakazi wengi wana magari ambayo huwarahisishia usafiri kwenda makazini, lakini huwezi kuwaweka kwenye kundi la watu wenye vipato vya juu. Ukijaza tu mafuta ya kwenda na kurudi kazini, ukapita sokoni na dukani kwa mangi kidogo hiyo laki hutaiona, hapo hujapigwa mizinga ya hapa na pale na kubananishwa na trafiki barabarani.

kama laki inafanya kazi zote hizo,basi hupaswi kushangaa.

maana unajua kabisa utajaza mafuta ya 40,utaweka kwenye pochi 30,kisha 30 utakula,maji,mizinga nk.

mtu wa aina hii hawezi kuishangaa pesa inapotea kimazingara,maana hata kipato chake ni zaidi ya laki 2 kwa siku.
 
Tanzania ndio nchi iliyojaa unafiki et Tukiacha kundi dogo la Viongozi wa Kisiasa wa Chama kilichojimilikisha madaraka, yan hapo mnataka kusema wanasiasa wengne ambao hawakupata madaraka wanamaisha magum? Alaf bado unasema unatoka nyumban na 100k hiv ww unajua maisha ambayo tunayaishi huku mtaani kwel?

Ebu acha unafiki kuna watu kwamwez mapoto yake ayafiki ata hiyo unayotoka nayo wewe ndan kwa siku.
 
Kanyaga Twende. Wataelewaz You Know [emoji16]

Dadeki Demu Wangu Siku Hizi Anajiongeza na Udalali Wa Magari. Mzigo Wa Office hautoshi....na mimi huku nime open joint ya Kitimoto / real estate brokerage ki aina.

Mbona Life Linasonga Fresh Tu Wana. Mnakwama wapi kwani ?? Lol [emoji38][emoji38][emoji38]

Show Kali, Design wana mlizoea mashindo mazito nn ?? Bongo Saa Hivi No Kitongaz U Kno [emoji16][emoji38]🤣
 
Mlisema vyuma vimekaza vimekaza 2015 mkazoea sasa 2020 maisha magumu nalo litapita mtazoea tu . kama ulikua unategemea janja janja miaka hii inebadikika sana lazima upambane kweli kweli jasho litoke ndio ukapate bia zako mbili sio 10 tena .
 
Kanyaga Twende. Wataelewaz You Know [emoji16]

Dadeki Demu Wangu Siku Hizi Anajiongeza na Udalali Wa Magari. Mzigo Wa Office hautoshi....na mimi huku nime open joint ya Kitimoto / real estate brokerage ki aina.

Mbona Life Linasonga Fresh Tu Wana. Mnakwama wapi kwani ?? Lol [emoji38][emoji38][emoji38]

Show Kali, Design wana mlizoea mashindo mazito nn ?? Bongo Saa Hivi No Kitongaz U Kno [emoji16][emoji38]🤣
Saivi janja janja hamna boss lazima upambane na wazee was vitonga ndio wanalalama sana kila siku thread za maisha magumu. Moderator muwe mnazikusanya pamoja
 
Hahahahaha.. nimecheka kinomaa..bt u have point..sometimes hadi mtu unahisi n chumaulete kumbe fweza tu haielewek..elaa tunatafuta sana..ukiipata na yenyew haikui..daah
Punguza matumizi yasiyo ya lazima. Sasa hv zile janja zenu hamna tena
 
Tatizo linaanza kwako, yani unatokaje na laki unarudi na mia mkuu, Yawezekana ni matumizi mabaya
 
Hamna maisha rahisi popote pale duniani, sasa kama hufanyi kazi / hujishughulishi kutafuta kazi maisha yatakuwaje rahisi?
 
mkuu hapa mtaani kwetu tumezika jamaa mmoja kisa shilingi mia ..mwenzake alikuwa anamia nne sasa akawa anataka ile mia ili iwe miatano akanunue bangi sasa kwenye burukushani yule jamaa mwenye mia nne akamchoma kisu cha tumbo jamaa akamwaga damu nyingi akafa
 
Back
Top Bottom