✓Hachana nao ao, ndio keyboard warriors. Maneno mengi tuuu, hata mzungu ana bajeti ya kijinga ya kutoka na laki arudi na Mia. Ukiweka ktk kiuchumimkuu unatoka home na 100k unarudi na 400!!!
unagawa au umedondosha??kama una uwezo wa kutoka na laki asubuhi na bado unalia hali ngumu,tutake radhi ndugu yangu.
✓Hachana nao ao, ndio keyboard warriors. Maneno mengi tuuu, hata mzungu ana bajeti ya kijinga ya kutoka na laki arudi na Mia. Ukiweka ktk kiuchumi
Mkuu laki kwa siku ni matumizi ya kawaida tu sema tunatofautiana ufukara, mfano wafanyakazi wengi wana magari ambayo huwarahisishia usafiri kwenda makazini, lakini huwezi kuwaweka kwenye kundi la watu wenye vipato vya juu. Ukijaza tu mafuta ya kwenda na kurudi kazini, ukapita sokoni na dukani kwa mangi kidogo hiyo laki hutaiona, hapo hujapigwa mizinga ya hapa na pale na kubananishwa na trafiki barabarani.mkuu unatoka home na 100k unarudi na 400!!!
unagawa au umedondosha??kama una uwezo wa kutoka na laki asubuhi na bado unalia hali ngumu,tutake radhi ndugu yangu.
Mkuu laki kwa siku ni matumizi ya kawaida tu sema tunatofautiana ufukara, mfano wafanyakazi wengi wana magari ambayo huwarahisishia usafiri kwenda makazini, lakini huwezi kuwaweka kwenye kundi la watu wenye vipato vya juu. Ukijaza tu mafuta ya kwenda na kurudi kazini, ukapita sokoni na dukani kwa mangi kidogo hiyo laki hutaiona, hapo hujapigwa mizinga ya hapa na pale na kubananishwa na trafiki barabarani.
Saivi janja janja hamna boss lazima upambane na wazee was vitonga ndio wanalalama sana kila siku thread za maisha magumu. Moderator muwe mnazikusanya pamojaKanyaga Twende. Wataelewaz You Know [emoji16]
Dadeki Demu Wangu Siku Hizi Anajiongeza na Udalali Wa Magari. Mzigo Wa Office hautoshi....na mimi huku nime open joint ya Kitimoto / real estate brokerage ki aina.
Mbona Life Linasonga Fresh Tu Wana. Mnakwama wapi kwani ?? Lol [emoji38][emoji38][emoji38]
Show Kali, Design wana mlizoea mashindo mazito nn ?? Bongo Saa Hivi No Kitongaz U Kno [emoji16][emoji38]🤣
Punguza matumizi yasiyo ya lazima. Sasa hv zile janja zenu hamna tenaHahahahaha.. nimecheka kinomaa..bt u have point..sometimes hadi mtu unahisi n chumaulete kumbe fweza tu haielewek..elaa tunatafuta sana..ukiipata na yenyew haikui..daah
SureTatizo linaanza kwako, yani unatokaje na laki unarudi na mia mkuu, Yawezekana ni matumizi mabaya
Kwahiyo wanadhulumiwa stahiki zao basi, si ndio?Kwani umeambiwa watu hawafanyi kazi?
Swali la kufikirika kwenye kichwa kigumu.Nguvu tunazo, tufanye kazi