Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,271
- Thread starter
-
- #41
HaelewiMkuu laki kwa siku ni matumizi ya kawaida tu sema tunatofautiana ufukara, mfano wafanyakazi wengi wana magari ambayo huwarahisishia usafiri kwenda makazini, lakini huwezi kuwaweka kwenye kundi la watu wenye vipato vya juu. Ukijaza tu mafuta ya kwenda na kurudi kazini, ukapita sokoni na dukani kwa mangi kidogo hiyo laki hutaiona, hapo hujapigwa mizinga ya hapa na pale na kubananishwa na trafiki barabarani.
Hatari sanaTukiacha kundi dogo la Viongozi wa Kisiasa wa Chama kilichojimilikisha madaraka, kwa kweli hali ya maisha kwa Wananchi ni ngumu sana huku mtaani,tuache kuvunga..
Hela hakuna wakuu, Ukitoka nyumbani na sh. laki moja unarudi huna hata sh. 100...bila shaka hali hii hainikabili mimi peke yangu
Hela hakuna mazee, Mishahara haitoshi na vimiradi vya kijasiriamali tunayojaribu pia vinakufa katika mazingira ya kustaajabisha sana
Ukikutana na Vijana waliomaliza Vyuo miaka miwili-mitatu iliyopita Utawaonea huruma, wamechoka, wamekonda, hawana tumaini...
Wafanyakazi wa Sekta ya Umma wako hoi
Wafanyabiashara taabani
Saivi unaweza kuviziwa getini kwako ukala shaba kisa tu Sh. elfu 20...
Hali ni ngumu sana, sema inaelekea wengi tumeamua kufa na tai shingoni..
Sure mzee, Hata MI nawaza sana sijui itakuwajMwakani mwezi kama huu sidhani kama hilo cheko utakua nalo. [emoji2955][emoji848]
Tuvuteni subira, ndio kwanza week ya tatu tangia aapishwe. Ikifika mwaka bukta zitavuuka.
Mbunye nini kitu gani mkuu?mbunye zimeshuka bei hatari
Safi Sana kiongoziClueless idiot, go hang yourself
hello[emoji1]Mbunye nini kitu gani mkuu?