Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Muulize Dr Mihogo ( (Dr Slaa)Kwahiyo mihogo mnaichukulia poa sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize Dr Mihogo ( (Dr Slaa)Kwahiyo mihogo mnaichukulia poa sio?
Profesa anapokea mshahara shilingi milioni tano kwa mwezi anazipeleka wapi? kuna mijitu ilipata uprofesa kwa kuloga au vinemo kuanzia huyu mleta mada ni kati ya watu wajinga ambao hawakutakiwa kuajiriwa chuo kikuu wameingia kwa njia za panyaNimeshangaa kuona Profesa anakula mihogo si kwa sababu ya kupenda bali kwa sababu hana hela analia ukata.
Ni aibu sana nchi yenye hela za kulipa wabunge mihela yote hiyo lakini inalipa walimu wetu wa chuo kikuu peanuts
Mbona bodi ya mikopo wameweka makato ya kushuka kwa thamani ya pesa ili kulinda thamani ya pesa iliyokopwa? (retention fee), kama hilo serikali inalitambua kwa nini kwenye mishahara haiongezi kia mwaka ili kulinda thamani ya pesa ya mtu? - Maana milioni ya leo siyo ilioni ya mwaka 2016Anayeamini kupandisha mishahara ndio njia peke ya kuinua maisha ya mtumishi inabidi ajitathimini upya!
SERIKALI MSIPANDISHE MISHAHARA, IMARISHENI THAMANI YA SHILINGI YA TANZANIA! Tunatamani mtu ulienda bureau na SHILINGI za Tanzania 1000 upate angalau dola 2 za kimarekani!
Sasa hivi vitu ni kwa faida ya nani kama watu wanaopaswa kutumia vitu hivi wanaumwa njaa ambayo mwishowe watadedi?Hauoni flyover?
Huoni Midege hewani?
Huoni mabarabara?
Huoni mashule?
Huoni vituovya afya?
Tupo Uchumi wa kati
Shule bure
Huduma za afya bure
Yaani Tanzania ya Magufuli neema tupu
Hivi vitu ni Kwa faida yako mtanzaniaSasa hivi vitu ni kwa faida ya nani kama watu wanaopaswa kutumia vitu hivi wanaumwa njaa ambayo mwishowe watadedi?
Cheap politics Mkuu....ametafuta public stunt sasa ngojea watu wadurusu ma file yake.Professor hawezi kuandika upuuzi kama huu.Wala professor hawezi kupaita Mlimani Jalalani.Nina wasiwasi na elimu ya huyu mfanyakazi.Unaanzaje kulalamika kula mihogo ilhali kuna wengine wapo mtaani hawana hata hiyo ajira wanashindia mikate siku nzima? Huku ni kukosa uzalendo na dharau kwa wasio na kazi.
How can you stabilize your currency given you import more than 90% of goods and services to meet your domestic demands. Unfortunately, the world has moved to soft goods of which Tanzania neither has capacity nor ability to produce. You might have piles of maize of rice, but life would have been a challenging one without just a mobile phone.Anayeamini kupandisha mishahara ndio njia peke ya kuinua maisha ya mtumishi inabidi ajitathimini upya!
SERIKALI MSIPANDISHE MISHAHARA, IMARISHENI THAMANI YA SHILINGI YA TANZANIA! Tunatamani mtu ulienda bureau na SHILINGI za Tanzania 1000 upate angalau dola 2 za kimarekani!
Hujajibu swali kijana. Kwa faida ya Mtanzania yupi? Sustainability is important in human life.Hivi vitu ni Kwa faida yako mtanzania
Ukifa na njaa ni ujinga na uzembe wako
Wakati huo Kibajaji & Msukuma wanakunja 12M. Alafu bado huoni kuna kitu hakipo sawa hapo??Profesa anapokea mshahara shilingi milioni tano kwa mwezi anazipeleka wapi? kuna mijitu ilipata uprofesa kwa kuloga au vinemo kuanzia huyu mleta mada ni kati ya watu wajinga ambao hawakutakiwa kuajiriwa chuo kikuu wameingia kwa njia za panya
Proffessor ni high income class employee kusema anashindia muhogo kwa mshahara wa milioni tano ni uongo
Mleta mada UDSM wamwachishe kazi upeo wake wa uelewa mdogo
Mtu anapokea milioni tano unasema ana ukata? Jamii forums imevamiwa na wajinga ikiwemo wewe
Kadiri siku zinavyokwenda akili zinaisha kabisa.Mihogo ni chakula cha kitajiri nenda katikati ya jiji ukaone inavyouzwa bei mbaya!
Sijui MATAGA huwa vichwa vyenu vimejaa maji mpk kusoma na kuelewa inawawia vigumu. Mtoa mada si anaongelea wafanyakazi wa serikali na namna mshahara haujaongezeka kwa miaka mitano na gharama za maisha zimepanda?? Unataka mtu awe mzalendo na huku ana njaa?? Umesikia waaapi???? Nyie kwakua ni majobless basi wivu unawasumbua kweli mkisikia watu mishahara haiwatoshi mnaona kila mtu mpiga dili. Mtakufa na jaka moyo acheni husda.Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Hivi professor mzima uzalendo unamshinda kabisa
Sijui unalalamika nini
Watanzania inatakiwa tufikie pahala tutangulize maslahi ya nchi kwanza
Professor unajua kabisa zaidi ya theluthi mbili ya mapato ya nchi inaenda kwenye mishahara
Hivi professor hauoni nchi ilivyopendeza?
Hauoni flyover?
Huoni Midege hewani?
Huoni mabarabara?
Huoni mashule?
Huoni vituovya afya?
Tupo Uchumi wa kati
Shule bure
Huduma za afya bure
Yaani Tanzania ya Magufuli neema tupu
Kuanzia Wafanyabiashara. Wafanyakazi hata Wakulima maisha ni bam bam isipokua wapiga dili Ndio wanaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
Hakuna husda wala jaka la MoyoSijui MATAGA huwa vichwa vyenu vimejaa maji mpk kusoma na kuelewa inawawia vigumu. Mtoa mada si anaongelea wafanyakazi wa serikali na namna mshahara haujaongezeka kwa miaka mitano na gharama za maisha zimepanda?? Unataka mtu awe mzalendo na huku ana njaa?? Umesikia waaapi???? Nyie kwakua ni majobless basi wivu unawasumbua kweli mkisikia watu mishahara haiwatoshi mnaona kila mtu mpiga dili. Mtakufa na jaka moyo acheni husda.