Hali ngumu ya Maisha kwa Wananchi: Mwalimu wa Chuo Kikuu amlilia Rais Magufuli anusuru wafanyakazi

Binafsi naelewa vema, unamaanisha. Hofu yangu, je utaeleweka au utaonekana MCHOCHEZI? Mwl. Nakushauri uwe mpole la sivyo utakuja hapa na mada ya majonzi!
 
Lini ulitoka Mirembe 🤑?
 
Sisi tunatembelea vieitee!!!
Unaijua vieite wewe???!!
 

Attachments

  • IMG_20210112_150518.jpg
    86.3 KB · Views: 2
  • IMG_20210101_160453.jpg
    73.6 KB · Views: 2
  • IMG_20210127_125033.jpg
    86 KB · Views: 2
  • Screenshot_20210114-131959.jpg
    52.1 KB · Views: 2
Mtano Tena.
Mimi yatima jamani hata hela ya mihogo sina.
 
Kuna vitu vya kuangalia na kujadiliwa kabla mishahara haijaongezwa:
1. Je mishahara ikiongezwa itapunguza ukata wa wafanyakazi?
2. Je mishahara ikiongezwa thamani ya shilingi itabaki hapa iliopo au itaongezeka?
3. Je mishahara ikiongezwa bei ya vitu sokoni na madukani itabaki hapa iliopo au itaongezeka?
4. Je mapato ya serikali kutokana na kodi yatahimili au itabidi serikali ikope?

Maswali ni mengi hivyo tuisaidie serikali namna ya kukabiliana na hoja hizi.
 
Muhogo kachumbari pilipili na kipande cha samaki acha kabisa. Pepsi baridi mchana jua la utosi.
 
Nimeshangaa kuona Profesa anakula mihogo si kwa sababu ya kupenda bali kwa sababu hana hela analia ukata.

Ni aibu sana nchi yenye hela za kulipa wabunge mihela yote hiyo lakini inalipa walimu wetu wa chuo kikuu peanuts
Mihogo mbona chakula kizuri tu. Acheni kudharau chakula.
 
Tulikotoka ni mbali, Kama asingekuwa kikwete na Mkapa tusingefika hapa. Walituletea jini Sasa linanyonya damu ya kila mmoja. Hadi 2025 tutakuwa tumedhoofu bin Hali. Nola huenda akatunusuru kwa namna ya pekee
Ameeeeen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…