Hali ngumu ya maisha na tunavyoishi Kwa mazoea.

Kitu cha muhimu kabisa ni kupunguza idadi ya watu kuzaliana sana.

Inatupasa tu focus kwenye quality of life, not quantity of life.

Ni bora uwe na watoto wachache uwawekee mazingira ya maisha mazuri, kuliko kuwa na utitiri wa watoto wanaoishi katika umasikini na kuishia kujiuza kwenye mabaa wakiwa na miaka 15. Inasikitisha sana.

Na katika hilo la kupunguza uzazi, kitu cha kwanza kabisa ni kuongeza elimu rasmi.

Ukiongeza elimu rasmi, hususan kwa wanawake, si tu unawasaidia kuwa na uwezo wa kuelimika na kupata kazi nzuri au kuweza kujiajiri vizuri zaidi, bali pia, kuongeza miaka ya kusoma kunapandisha miaka ambayo wanawake wanaanza kuzaa, badala ya mwanamke kuanza kuzaa akiwa na miaka 18 ataenda kuanza kuzaa akiwa na miaka 28. Kwa sababu wanawake wana miaka fulani tu ya kuzaa, hili kitapunguza idadi ya watoto kwa kila mwanamke.

Zaidi, itafanya wanawake wahusike katika kupanga familia, wawe na maamuzi, wawe na maamuzi ya watu wenye elimu. Sasa hivi wanawake wengi wanazalishwa kwa kupangiwa tu bila ya kuwa na maamuzi, kwa sababu wengi hawana nguvu za kiuchumi.

Matatizo ya uchumi ya nchi kama Tanzania hayawezi kutatuliwa bila mkakati kabambe wa uzazi wa mpango.

Kwa sababu, hata tukifanya kazi sana na kupiga hatua kubwa, kama population yetu inaongezeka kwa asilimia karibu 4 kwa mwaka, maana yake ni kuwa maendeleo yote yatafunikwa na ongezeko la watu, tutakuwa kama hatujafanya kitu.

Sasa hivi tupo watu takriban milioni 65 na tunaona joto hivi. Ikifika mwaka 2050, kwa rate hii ya kuzaana, tutakuwa zaidi ya watu milioni 140.

Kwa uchumi huu tutaumia sana.
Umesema mambo ya msingi sanaa na ukweli kabisa. Kudos kwako!!
 
Africa haina shida na population toka tu Hapo Kibaha ukutane na mapori tele.
Africa Ina tatizo la watu wake kutoona fursa zimejaa kuliko idadi ya watu.
Tujikite kuwapa watu maarifa na sio vyeti ulimwengu wa sasa hivi elimu ipo kwenye mitandao ukiwa na smart tosha uhitaji kupoteza mda darasani kukariri.
Ukiwa na idadi kubwa ya watu wasi9jua kutumia fursa, halafu ukawa unaongeza idadi ya hao watu kuliko unavyoongeza uwezo wa hai watu kutumia fursa, hapo utakuqa unazidisha tatizo la kuwa na watu wasiojua kutumia fursa.

Hilo ni tatizo la population kuzidi kuliko uwezo wa watu kutumia fursa unavyozidi.

Na katika hali hiyo, kupunguza idadi ya watu kuzaliana ni muhimu.
 
Hawa CCM tukiendelea kuwachekea, wataturejesha enzi za utumwa. Kuna umuhimu wa kwenda kujifunza kwa Capt. Ibrahimu Traore ili kujua alifanyaje fanyaje pale nchini kwake. Maana hakuna namna nyingine eti.
 
Technology inatoa majibu ya yote thus Leo wachache ulisha wengi
 
Technology ina gharama. Inataka bajeti.

Technology inaweza kuwa na majibu mengi (si yote) in the long run.

In the short run, mtu masikini anayeishi kwa bajeti ya shilingi elfu kumi kwa siku kwa familia ya baba, mama na watoto wengi, kumwambia atumie technology kujijwamua wakati hana bajeti inaweza kuwa ni kumtukana.

Nchi masikini ambayo ina mambo mengi sana ya kujikimu na kuishi kwa mikopo kuiambia itumie technology inaweza kuwa na matatizo mengi sana hata kuipata hiyo technology.

Na technology kuitumia unahitaji elimu.

Na iki uweze kutoa elimu nzuri inabidi uwe na ratio nzuri ya watoa elimu na wapokea elimu.

Na hapo huwezi kukwepa family planning na education.
 
Watu hutafuta pesa Kwa Kila njia waijuayo. Ogopa sana mjinga akiamua kutafuta maisha Bora.
 
1.Tanzania bado kuna ile kasumba kwamba, Dar es Salaam ndiyo jiji na maisha yapo Dar. Kimsingi hili suala linasababisha mlundikano wa watu sanaa hasa kaya zenye kipato cha chini. Tumshukuru Mungu kwa maono ya Rais Magufuli, Mungu amlaze mahali pema peponi alilazimisha mpaka makao makuu ya nchi yamehamia Dodoma na watu wengi sasahivi wametulia wameshakubaliana na hali.
2. Kuna tatizo naliona hapa nchi, mtawanyiko wa fursa si wakuridhisha sanaa, hii inapelekea watu kurundikana eneo moja kwa kisingizio cha kutafuta maisha. Japo kimsingi kila mwananchi anao uhuru wa kutafuta maisha popote lakini, serikali inayo nguvu ya kupunguza mrundikano huu kwa namna mbalimbali. Najua kutakuwa na mipango ya muda mrefu bado ipo kwenye maandishi inasubiria fedha na mingine tumeanza kuishuhudia lakini hiyo haitoshi kunapaswa kuendelea kufanyika mipango zaidi ili kukabiliana na hili suala.
3. Ujio wa SGR ni fursa ya kuendelea kutawanya watu zaidi kwani Tren hiyo inapita maeneo ambayo kwa sehemu kubwa ni mapori, kama inawezekana miradi ya uwekezaji itakayoendana na mazingira sawia ambapo Treni hiyo hupita basi ielekezewe huko angalau kuanzisha mitaa mipya na hatimaye miji mingine. Naipongeza serikali kwa kuifanya Chanika kuwa kubwa na pengine kutagawanywa kuwe wilaya pia.
4. Kuanzia ngazi ya familia elimu iendelee kutolewa kuhusiana na idadi ya watoto, kila mtu ajue anapaswa kuja kuwa na watoto atakao muda kuwalisha vizuri na kuwalea vyema, changamoto za mmomonyoko wa maadili katika jamii ni mkubwa sanaa, hii ni hatari mno kwenye jamii na taifa kwa ujumla.
5. Mtoto wa kiume alisahauliwa katika jamii na badala yake mtoto wa kike akapewa nguvu zaidi matokeo yake kwenye jamii yetu leo hii kuna baadhi ya familia zimekosa furaha kwa sababu vijana waliokuwa wanategemewa ni wavuta bangi, watumiaji wa madawa ya kulevya na mbaya ya mwisho kuna mashoga aisee! Hii ni taa nyekundu kwenye jamii yetu. Tukubali ama tusikubali, familia ndiyo msingi wa kila kitu, familia bora huleta jamii bora na hatimaye Taifa bora.
6. Tumrudie Mungu, maana siku hizi tunashuhudia mambo ya ajabu hadi kwa viongozi wetu wa Dini. Hapa sitaki kugusia mengi lakini watu tunasikia na kuona mauza uza kwenye hizi dini tulizozikuta.
 
Comment nzuri
 
Hawa CCM tukiendelea kuwachekea, wataturejesha enzi za utumwa. Kuna umuhimu wa kwenda kujifunza kwa Capt. Ibrahimu Traore ili kujua alifanyaje fanyaje pale nchini kwake. Maana hakuna namna nyingine eti.
Mkuu umewaza vema,swali

Nani wa kumfunga paka kengele?
 
Maisha yakiwa magumu ongeza maarifa.
Smartphone ni office kamili hauhitaji kujiajiriwa ulipwe mshahara mbuzi.
Unaweza ukawa umelala kitandani na simu au laptop na unalipwa hadi million 40 kwa mwezi.
HOW? Toa maarifa hapa hapa, watu wanataka kujua how.
 
Online pana ajira mtandao nyingi sana pia Pana scammers pia inatakiwa upate mwalimu wa kukufunza,ni utundu wako.
Kazi zilizopo mtandaoni mfano
. graphics design,web design,kuuza bidhaa,kuuza matangazo,kufanya tafiti,kuuza bunifu,kuuza mawazo ya biashara, kufundisha watu lugha mfano kiswahili au kiingereza,kutoa taarifa za masoko, kufanya tafiti,kuendesha account nk zipo aina tofauti tofauti za kazi zaidi.
Pana KAZI zinatangazwa mfano Glassdoor, indeed nk kazi mbalimbali za freelance unaweza ukawa manager wa kampuni hata ya Canada ukiwa hapa tza na unalipwa tu mshahara kwa kadri ufanyazo kazi Wala hauhitaji kumuona muajiri wako unatumiwa kazi mnakubaliana malipo.
Tafuteni wataalamu wa mitandao wanafunza jinsi kutengeneza pesa mtandaoni.pana jinsi ya kutrade Bitcoin, cryptocurrency nk.
Mchek Instagram au telegram pana jukwa linaitwa sanuka kijidital wanafunza.
Mimi siku hizi smartphone yangu office yangu ya kuingizia kipato hadi dollar 300 kwa siku inategemea na wingi wa KAZI.
 
Kitu cha muhimu kabisa ni kupunguza idadi ya watu kuzaliana sana.

Inatupasa tu focus kwenye quality of life, not quantity of life.

Ni bora uwe na watoto wachache uwawekee mazingira ya maisha mazuri, kuliko kuwa na utitiri wa watoto wanaoishi katika umasikini na kuishia kujiuza kwenye mabaa wakiwa na miaka 15. Inasikitisha sana.

Na katika hilo la kupunguza uzazi, kitu cha kwanza kabisa ni kuongeza elimu rasmi.

Ukiongeza elimu rasmi, hususan kwa wanawake, si tu unawasaidia kuwa na uwezo wa kuelimika na kupata kazi nzuri au kuweza kujiajiri vizuri zaidi, bali pia, kuongeza miaka ya kusoma kunapandisha miaka ambayo wanawake wanaanza kuzaa, badala ya mwanamke kuanza kuzaa akiwa na miaka 18 ataenda kuanza kuzaa akiwa na miaka 28. Kwa sababu wanawake wana miaka fulani tu ya kuzaa, hili kitapunguza idadi ya watoto kwa kila mwanamke.

Zaidi, itafanya wanawake wahusike katika kupanga familia, wawe na maamuzi, wawe na maamuzi ya watu wenye elimu. Sasa hivi wanawake wengi wanazalishwa kwa kupangiwa tu bila ya kuwa na maamuzi, kwa sababu wengi hawana nguvu za kiuchumi.

Matatizo ya uchumi ya nchi kama Tanzania hayawezi kutatuliwa bila mkakati kabambe wa uzazi wa mpango.

Kwa sababu, hata tukifanya kazi sana na kupiga hatua kubwa, kama population yetu inaongezeka kwa asilimia karibu 4 kwa mwaka, maana yake ni kuwa maendeleo yote yatafunikwa na ongezeko la watu, tutakuwa kama hatujafanya kitu.

Sasa hivi tupo watu takriban milioni 65 na tunaona joto hivi. Ikifika mwaka 2050, kwa rate hii ya kuzaana, tutakuwa zaidi ya watu milioni 140.

Kwa uchumi huu tutaumia sana.
Bro mimba zinatokea kwa kupanga au ni kudra za Mungu, hivyo huwezi KUZUIA uzazi bila kutumia njia mbadala na watu hawazitaki
 
Online pana ajira mtandao nyingi sana pia Pana scammers pia inatakiwa upate mwalimu wa kukufunza,ni utundu wako.
Kazi zilizopo mtandaoni mfano
. graphics design,web design,kuuza bidhaa,kuuza matangazo,kufanya tafiti,kuuza bunifu,kuuza mawazo ya biashara, kufundisha watu lugha mfano kiswahili au kiingereza,kutoa taarifa za masoko, kufanya tafiti,kuendesha account nk zipo aina tofauti tofauti za kazi zaidi.
Pana KAZI zinatangazwa mfano Glassdoor, indeed nk kazi mbalimbali za freelance unaweza ukawa manager wa kampuni hata ya Canada ukiwa hapa tza na unalipwa tu mshahara kwa kadri ufanyazo kazi Wala hauhitaji kumuona muajiri wako unatumiwa kazi mnakubaliana malipo.
Tafuteni wataalamu wa mitandao wanafunza jinsi kutengeneza pesa mtandaoni.pana jinsi ya kutrade Bitcoin, cryptocurrency nk.
Mchek Instagram au telegram pana jukwa linaitwa sanuka kijidital wanafunza.
Mimi siku hizi smartphone yangu office yangu ya kuingizia kipato hadi dollar 300 kwa siku inategemea na wingi wa KAZI.
Mmmh haya
 
Back
Top Bottom