Hali ni mbaya, kazi yoyote inahitajika

Hali ni mbaya, kazi yoyote inahitajika

Hio kitu sio rahisi kama inavyoandikwaga humu
Kazi yenye demand kubwa sana huko ambayo ni rahisi kupata ni content writing.

Ukienda Fiverr, ukajisajili unaandika makala. Pricing weka hata $5 kwa 500 words na $10 kwa 1,000 words.

Utapata orders mpaka ushindwe mwenyewe.

Muhimu ujue English na namna blog posts zinaandikwa, na ni kitu rahisi tu.

Kwa mwezi unaweza kujikuta unakunja mpaka $500 kirahisi tu.
 
Una hakika na hilo mzee?
 
100%

Mkuu, hakuna kitu chenye demand kubwa kama kuandika sasa hivi.

Yaani sasa hivi ukimaster uandishi na video editing, huwezi kulala njaa hata siku moja.

Contents hata mimi mwenyewe nanunua.
Mie nimekwama hapa kwenye kujielezea na uzoefu wa kazi kimsingi nafeli sababu sina uzoefu wowote wa kujieleza kwa maneno 150! Hebu nisaidie hapo
 
Unajoin Fiverr au Upwork ?
 
Back
Top Bottom