Pole sana ndugu. Ipo siku Mungu atakufungulia mlango. Usikate tamaa. Jaribu kujisajili upwork kama Translator then uwe unaomba kazi kwa low price. Unaweza okota chochote!Dah... Hata kula tu mtihani
Asante kwa ushauri nduguPole sana ndugu. Ipo siku Mungu atakufungulia mlango. Usikate tamaa. Jaribu kujisajili upwork kama Translator then uwe unaomba kazi kwa low price. Unaweza okota chochote!
Endelea kukaba mzee[emoji23][emoji23][emoji23] tupo pamojaMi kwa kutumia silaha,nguvu,na ukatili nimeweza kujiajiri mtaani
Boss hii nafasi bado ipo?Kazi za usafi maofisini unafanya? kuna jamaa anaajiri huko Tabora
Kazi za usafi maofisini unafanya? kuna jamaa anaajiri huko Tabora
Yes. Naendelea kupitaMkuu ulishajaribu kupita viwandani??
Naskia huko ajira hazikosekanag mkuuYes. Naendelea kupita
Hio kitu sio rahisi kama inavyoandikwaga humuPole sana ndugu. Ipo siku Mungu atakufungulia mlango. Usikate tamaa. Jaribu kujisajili upwork kama Translator then uwe unaomba kazi kwa low price. Unaweza okota chochote!
Mkumbushe yule mwizi wa pikipiki wa Tabata bima kilichomkuta juzi!endelea kukaba mzee[emoji23][emoji23][emoji23] tupo pamoja
Kazi yenye demand kubwa sana huko ambayo ni rahisi kupata ni content writing.Hio kitu sio rahisi kama inavyoandikwaga humu
Una hakika na hilo mzee?Kazi yenye demand kubwa sana huko ambayo ni rahisi kupata ni content writing.
Ukienda Fiverr, ukajisajili unaandika makala. Pricing weka hata $5 kwa 500 words na $10 kwa 1,000 words.
Utapata orders mpaka ushindwe mwenyewe.
Muhimu ujue English na namna blog posts zinaandikwa, na ni kitu rahisi tu.
Kwa mwezi unaweza kujikuta unakunja mpaka $500 kirahisi tu.
100%Una hakika na hilo mzee?
Mie nimekwama hapa kwenye kujielezea na uzoefu wa kazi kimsingi nafeli sababu sina uzoefu wowote wa kujieleza kwa maneno 150! Hebu nisaidie hapo100%
Mkuu, hakuna kitu chenye demand kubwa kama kuandika sasa hivi.
Yaani sasa hivi ukimaster uandishi na video editing, huwezi kulala njaa hata siku moja.
Contents hata mimi mwenyewe nanunua.
Unajoin Fiverr au Upwork ?Mie nimekwama hapa kwenye kujielezea na uzoefu wa kazi kimsingi nafeli sababu sina uzoefu wowote wa kujieleza kwa maneno 150! Hebu nisaidie hapo
Upwork walinletea mashauzi nataka nijoin fiverUnajoin Fiverr au Upwork ?