mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Story ni ndefu sana hukufatilia mgogoro wa diocis ya konde?tupe story kidogo walimnyanganya kivipi? kulikuwa na scandle gani mpaka wakamnyanganya? wengine hatujui
Tuwe na haiba ya kujiweka kando na mitifuano ya taasisi za dini.
Hakuna cha haiba, tunawaweka kwenye mitandao kama kawa wao mbona wanahubiri kwa kutoa mifano ya sisi waumini.Tuwe na haiba ya kujiweka kando na mitifuano ya taasisi za dini.
Kwa mfano hata sakata la sheikh wa mkoa wa Dar linapaswa kuachwa walimalize huko.
Kuna mahala hekima ituongoze vyema
Muumini aliyechangamka nakuona😅Hakuna cha haiba, tunawaweka kwenye mitandao kama kawa wao mbona wanahubiri kwa kutoa mifano ya sisi waumini.
Ni vile wao ni viongozi wa dini ila wana hulka, silka na tabia zote za kibinadamu wanapokengeuka tunawanawa vizuri tu.
Yaani sadaka zetu wale na tuwaone aibu tena ebo!
Sio muda mrefu wanatafuta muwekezajiMmh kkkt kuna nini jmn mbn kila leo kunaibuka kutokuelewana kwenye utawqla
Status "halitembei"
Kwani kutengeneza hawawezi?Status "halitembei"
Unataka wakae nayo ya nini sasa. Hata hilo moja linalotembea usikute ni trip moja shamba trip moja garage.
Kwa hiyo kosa ni kuuza kipindi hiki.Kwani kutengeneza hawawezi?
Mbona hayakuuzwa hapo kabla..
Hilo la betheri limeharibika lini ????