Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
Nakazia.Tuwe na haiba ya kujiweka kando na mitifuano ya taasisi za dini.
Kwa mfano hata sakata la sheikh wa mkoa wa Dar linapaswa kuachwa walimalize huko.
Kuna mahala hekima ituongoze vyema
Kuna watu wanajichotea laana bila kujua. Sisi kama washirika tunapaswa kuiombea hii migogoro iishe kwa amani badala ya ku-take sides. Ni hatari sana!