Amicus Curiae JF-Expert Member Joined Sep 12, 2012 Posts 5,351 Reaction score 7,639 Feb 11, 2023 #21 Msanii said: Tuwe na haiba ya kujiweka kando na mitifuano ya taasisi za dini. Kwa mfano hata sakata la sheikh wa mkoa wa Dar linapaswa kuachwa walimalize huko. Kuna mahala hekima ituongoze vyema Click to expand... Nakazia. Kuna watu wanajichotea laana bila kujua. Sisi kama washirika tunapaswa kuiombea hii migogoro iishe kwa amani badala ya ku-take sides. Ni hatari sana!
Msanii said: Tuwe na haiba ya kujiweka kando na mitifuano ya taasisi za dini. Kwa mfano hata sakata la sheikh wa mkoa wa Dar linapaswa kuachwa walimalize huko. Kuna mahala hekima ituongoze vyema Click to expand... Nakazia. Kuna watu wanajichotea laana bila kujua. Sisi kama washirika tunapaswa kuiombea hii migogoro iishe kwa amani badala ya ku-take sides. Ni hatari sana!
TimeOut JF-Expert Member Joined Sep 20, 2022 Posts 3,894 Reaction score 8,454 Feb 11, 2023 #22 Utakaaje na liabillities!? Waache wachukue watakao weza kuzifanya current assets