- Thread starter
- #241
Hawa watu wanavipaji vya ajabu na vya kutisha sana!! Ni vile serikali imeshindwa kutambua uwezo wao!!!Mwalimu wangu Mr. Kaluhawe alikuwa na ulemavu wa kutoona. Akiwa anatoa lecture pale M9 SAUT mida baada ya lunch, ungemsikia anasema, "I see you sleeping"! Ahahahahaha! Alikuwa mwamba sana!
Nawaambia tena, Laiti Kama mngejua kwamba mtu mwenye ulemavu anatumia ubongo wake kwa asilimia kubwa sana kuliko hata mtu ambaye Yuko physical fit msinge zarau Walemavu...
Magenius wengi mara nying wanakuwaga na kasoro ndogo ndogo Kama hizo ambazo nyie mnaita ulemavu..
Hakika nchi inakosa watu wenye akili nying sana, ni basi tuu