DOKEZO Hali ni mbaya sana kwa walemavu tuliosoma, Si Serikali wala kampuni binafsi ambazo ziko tayari kutuajiri. Tunabaguliwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Unadhani hata wasio walemavu hali zao zipo poa ? Mkuu ni pote tu na sio Afrika tu bali duniani nguvu kazi is no longer required; Ingawa kwa Tanzania yetu tungeweza kutokuwa na shida hii kutokana na kwamba tuna resources za kumwaga..; na sasa hivi nyie walemavu mnalalamika kesho tutakuwa na wazee ombaomba sio kwamba wanalalamika tu bali kila tukipiga tambo watakuwa wanatusimamisha na kutuomba omba

 
Hii 3% ingekuwa inatekelezwa hii Tatizo lingepungua sana!!

Mfano mtu ambaye hatekelezwi kanuni hio anafungiwa leseni yake ya biashara au analipishwa faini kubwa!! Tatizo lingepungua
 
pole sana naamini ujumbe umefika kwa wahusika.
tusisahau hujafa hujaumbika na kila mmoja wetu ni mlemavu mtarajiwa.
 
Mkuu pole sana. Nenda gran melia hotel -Arusha. Geti la tatu dogo la juu kabisa kulia kama unaelekea philips kutokea round about ya impala ( au kama unatokea philips ni geti la kwanza kushoto) . Kuna kitengo pale kinatoa ajira kwa walemavu sikumbuki jina kinaitwaje.. ila nenda pale wale wazungu wana ajiri walemavu tuu kwa asilimia 99%
 
Asante mkuu
 
Nafikiri wameweka tu Kama kigezo, lakn utekelezaji wake umekua kinyume! Ukiweka ulemav ni Kama umejipalia makaa ya moto
 
Pole sana ndgu! Kuna asasi za kiraia zinahusika na mikopo yenye masharti nafuu,,,, ungeenda huko walau , hizi ajira bila connection n changamoto sana ! Very sorry pal
 
A
Asante mzee wetu kwa nasaha nzurii...nikiwa Kama shuhuda wa ajari barabarani mwaka Jana na kuvunjika mguu so kwa muda wa zaidi ya miezi 7 nimeishi Maisha ya ulemavu..

Nikaanza kutembea kwa kujifunza muda mwingine nilikua nawaonea wivu watu walio kua wanatembea sikujua Kama ntaweza kutembea Tena na kwa Sasa mwezi huu wa pili nafikisha mwaka mmoja..now naweza kutembea Tena

Shukrani sanaa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…