DOKEZO Hali ni mbaya sana kwa walemavu tuliosoma, Si Serikali wala kampuni binafsi ambazo ziko tayari kutuajiri. Tunabaguliwa

DOKEZO Hali ni mbaya sana kwa walemavu tuliosoma, Si Serikali wala kampuni binafsi ambazo ziko tayari kutuajiri. Tunabaguliwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Bora hata wangetupa haki sawa na ambao hawana ulemavu, badala yake sisi hawatutaki sio kwasababu ya ukosefu wa ajira! Ni kwasababu ya kutotaka walemav
Mkuu mimi ni muumini wa From each according to their Ability to each according to their Need..; Sasa inategemea wewe ni mlemavu wa kitu gani na shughuli / kazi inahitaji skills uwezo upi; sababu tungehakikisha kila mwenye uwezo anapata njia ya kupata ujira nadhani tusingefika hapa, kinachoendelea ni kwamba tunashikana uchawi wenyewe sisi raia wakati sio makosa yetu...; Nyerere alisema wakati wa TANU ambaye ni baba wa CCM

  • CHAMA CHETU KINASEMA - mtu mwenye Afya ambaye tumeshindwa kumpa njia halali ya kujipatia riziki yake. Nawaomba ardhi - hakuna ardhi; hamnipi ardhi, Mnasema "Ardhi hakuna". Naomba kazi ya kibarua basi, Nipeni basi ya kibarua, "Hamnipi kazi ya kibarua. Mimi niko tayari kabisa kufanya kazi au ya kulima au ya kibarua chochote nipeni. Hamnipi Chama Chetu kinasema MTANILISHA.
 
Pole sana ndugu yetu 😔
Jaribu pia kupeleka CV kwenye taasisi za kimataifa hata kama hawajatangaza ajira omba kazi kama intern.

Kama uko interested njoo inbox nikupe suggestions za ambazo nazifahamu ambapo wana prioritize diversity.
Nashukuru sana! Naahid kuku PM mkuu
 
Na mda sio mrefu kuna msanifu kasanifu jengo la umma huku nilipo bila miundombinu ya watu wenye mahitaji maalum.

Poleni sana.
Asante sana! Nikama tunasahaulika hiv
 
Mkuu pole sana. Nenda gran melia hotel -Arusha. Geti la tatu dogo la juu kabisa kulia kama unaelekea philips kutokea round about ya impala ( au kama unatokea philips ni geti la kwanza kushoto) . Kuna kitengo pale kinatoa ajira kwa walemavu sikumbuki jina kinaitwaje.. ila nenda pale wale wazungu wana ajiri walemavu tuu kwa asilimia 99%
Japo nipo Dar! Naahid ntaipeleka hii taarifa kwa wenzangu ambao watamudu kufika Arusha kwasasa
 
Niende kwenye mada moja kwa moja!!.

Nimekuwa moja ya wahanga wa hili Tatizo kwa muda mrefu sana

Kati ya watu wanaosoma kwa mateso makubwa sana ni watu wenye ulemavu, kuanzia shule za msingi mpaka sekondari, hii inatokana na miundo mbinu mingi kuwa tofauti na Hali zetu watu wenye ulemavu.

Wakati mtu mwenye ulemavu anapambna akiamini kuwa yeye hawez kulima, kutembeza mitumba, Wala kufanya kazi ngumu za ujenzi akitegemea akili yake tu ya darasani angalau impe mwanga wa maisha.

Baada ya ajira huyu mtu mwenye ulemavu anaanza kuzunguka na baiskeli yake au magongo yake kweny interview mbalimbali, wakati mwingine hufanyika mikoani, au kwenye majengo yasiyo na lift.
Wengi wanaishia kukata tamaa sana.

Kuna sehemu niliwahi kataliwa kabisa kisa mimi ni mlemavu kwamba siwezi kufanya hio kazi kwasababu nitakuwa naenda sana hospitali, yaani trip kazini trip hospitali. Wanahisi labda sisi ni wagonjwa fulani hivi,

Inaumiza sana sana, naongea kwa niaba Yao sana.

Wengi walioajiriwa ni sababu za kisiasa, ili ionekane hawabaguliwi hasa kwenye sekta zinazohusiana na walemavu ndio huko wamejazwa!

Nina watu nawajua ni walemavu, wanapitia kipindi kigumu sana lakini wakiwa na elimu Yao kichwani! Yaani huu unyanyapaa huwezi ona kwa jicho la kawaida! Ni dhamira za watu.

Kitanda usicholalia huwezi jua kunguni wake!! We feel pain sana sana

Natimiza mwaka wa saba(7) tangu nimalize digrii yangu ya usimamizi wa fedha..

Serikali haitujali tena, zaidi ya kutulazimisha tukope pesa tuu.

Wadau wapo kimaslahi na kisiasa zaidi wapate attention wakati wanatoa misaada.

Hata vyama vya walemavu sasa hawana la kusema baada ya kulamba sukari

Sisi tukimbilie wapi zaidi yenu wadau wa hapa JF, tusaidieni kupaza sauti sisi walemavu tuliopambana kusoma kwa bidii, tunatamani kubeba tofali angalau tupate mkate wa kila siku lakini Hali zetu hazituruhusu.

Tuliamini katika elimu nayo imetusaliti, nchi imetutenga, tuna hari mbaya sana
Pole sana mkuu
Huu ukawe mwaka wa Mungu kukutimizia hitaji lako
 
Pole sana ndgu! Kuna asasi za kiraia zinahusika na mikopo yenye masharti nafuu,,,, ungeenda huko walau , hizi ajira bila connection n changamoto sana ! Very sorry pal
Nashukuru Mkuu, binafsi napokea pole hii
 
Pole sana ndgu! Kuna asasi za kiraia zinahusika na mikopo yenye masharti nafuu,,,, ungeenda huko walau , hizi ajira bila connection n changamoto sana ! Very sorry pal
Mikopo ni mizuri lakn ni Changamoto wakat mwingne
 
Pole sana..
Lakini je hata ungekuwa wewe ,ungeweza kumuacha mtu ambaye si mlemavu ukaajiri mlemavu?
Mtu kakuambia kasoma degree ya Usimamizi Wa Fedha. Ulemavu wa miguu unamzuia kutimiza majukumu yake? Mna mpango wa kumpa ofisi ya ghorofani kwaajili ya kumkomoa?

Ujue Mwafrika anaamini sana kwenye manguvu karibia kila sehemu. Wakati dunia inawabeba kila mwenye potential ili mradi kichwa kinafanya kazi kama kina Steve Hawking. Huku kuna Mwafrika, huanzi shule hadi mkono ushike sikio la upande wa pili, kuvunja matofali kwa kichwa, uwe na futi tano sijui ngapi upate kazi..

Yaani manguvu manguvu.
 
Mkuu mimi ni muumini wa From each according to their Ability to each according to their Need..; Sasa inategemea wewe ni mlemavu wa kitu gani na shughuli / kazi inahitaji skills uwezo upi; sababu tungehakikisha kila mwenye uwezo anapata njia ya kupata ujira nadhani tusingefika hapa, kinachoendelea ni kwamba tunashikana uchawi wenyewe sisi raia wakati sio makosa yetu...; Nyerere alisema wakati wa TANU ambaye ni baba wa CCM

  • CHAMA CHETU KINASEMA - mtu mwenye Afya ambaye tumeshindwa kumpa njia halali ya kujipatia riziki yake. Nawaomba ardhi - hakuna ardhi; hamnipi ardhi, Mnasema "Ardhi hakuna". Naomba kazi ya kibarua basi, Nipeni basi ya kibarua, "Hamnipi kazi ya kibarua. Mimi niko tayari kabisa kufanya kazi au ya kulima au ya kibarua chochote nipeni. Hamnipi Chama Chetu kinasema MTANILISHA.
Na appreciate mchango wako!! Mpaka mweny ulemavu anasomea kozi flani maan yake anaimudu hio kazi kulingana na ulemavu wake wa viungo!
 
Changamoto zaid hutokea pindi vifaa vya usaidizi vinapokua either vimechakaa au vimeharibika!

Yaani huwezi Fanya movement yoyte kwenda kuomba kazi au kujiajiri.. "unabaki kuomba Mungu ajalie angalau watokee watu tuu from no where wakusaidie"

Mtu mwenye Elimu kutegemea msaada nikitu kinachoumiza sana..
 
Aisee pole kwa changamoto ya ajira unayopitia na kweli huwezi tembeza mtumba.
Ila my firm belief is this " NONE LOVES YOU EVEN YOUR PARENTS/CHILDREN/WIVES/HUSBANDS LOVE IS THERE FOR CONDITIONAL.
hata naweza nikadiriki kusema Muumbaji hajakuumba bure Kuna conditions umepewa na yeye ukitoka nje yake anakuchoma moto Ila ukiziishi atafurahi kuwa anaye mwanaye wa pekee ataji proud mbele ya shetani kuwa unamuona huyu hapa ni mwanangu anayenitii.

Na hii dunia nothing is free yaani hata salamu haipo ya burebure tu mtu akusalimie from nowhere either moyo wake umekuelewa kwa namna yoyote Ile ama ana shida hata ya kuuliza even njia.
Nothing is free everything is all about TRADING na kwenye hii sekta wanawake wako VIZURI MNO YAANI MNO SIJAWAHI KUONA TOKEA NIIJUE TRADING IMENIFUNGUA MACHO JINSI ULIMWENGU UNAVYOFANYA KAZI.
Mwanamke always ana exchange her LOW VALUES IE HER EVERYTHING IS LOW VALUE WITH HIGH VALUE FROM MEN.
HATA JUA HALIANGAZI WITHOUT A REASON, EVEN MVUA INANYESHA WITH HIGH CALCULATED REASON. Kama hujui niulize nitakuelezea it's about science and physics.
Binadamu tunakulana like how animals are being eaten each other at the jungle wether you like or not.

Ni yao tu , Ila natumai viongozi watawapa ajira Mana kweli nyie ni walemavu ingawa Kuna jamaa akauliza swali kwangu naliona Kama halina mantiki eti ajira zinatolewa kiss ulemavu ama kwa competition kwani ajira zote zinazotolewa wote wako competent?
Ngoja aje awe mlemavu ndio ataanza kuuliza Hilo swali vizuri, watu wengine wanashindwa ku feel hisia za wengine kisa akakaa kwenye kiti kizuri ofisi Fulani anapigwa na ac ,yupo na mtt mzuri kwa ist yake, anakula samaki samaki palke akitoka amefanyiwa masaje akala kyuma nzuri basi anajiona dunia akaimaliza Fulani.
Kiongozi nakuombea mno utapata ajira angalau uitunze familia yako kaka.
Binafsi ni mganga sema mie naweza shuka jembe nikalima nikapata chakula hata wanangu wakala viazi na mchicha na uji wa ulezi na sukari nashukuru mno nature Sina namna ya ku pay it back.

Aisee watu wa system hebu lichekini hili suala bana ,watu wanapitia magumu na wakiona let say omary anavyosamabaza hela anaumia inabidi kuwe na equal sharing of our family food, sio lazima mlingane Ila mpenzi ajira hapo apate hata 1.5M per month atasogeza siku duniani Mana Basic needs atazimudu sema starehe hela haitotosha.

Mungu na muumbaji wa Kila kitu hata sisimizi unaeujua idadi ya nywele zetu please sikia kilio cha Wana wako hapa jukwaani.

Aum!!!!!!!!!!!!!
 
Suala la ajira ni janga la kitaifa, ingawa ulemavu unaongeza ugumu. Nakushauri angalia pia namna unaweza kujiajiri kutokana na hali yako. Kama ni mlemavu wa miguu unaweza kufanya shughuli za mikono mfano uandishi, utengenezaji viatu, mihamala ya simu(yas mix, mpesa n.k). Kupata fursa ni mapambano ya survival of the fittest, hakuna atakaekuonea huruma.
 
Ni vzuri kujiajiri lakn!! Kujiajiri kwa upande wetu kupo limited kulingana na mzingira yetu... Option yetu kuu ilikua ajira!!
Mungu akutangulie kaka yangu
Pengine ukijiajiri ww itakuwa vyema kama kuajiriwa unakataliwa
 
Aisee pole kwa changamoto ya ajira unayopitia na kweli huwezi tembeza mtumba.
Ila my firm belief is this " NONE LOVES YOU EVEN YOUR PARENTS/CHILDREN/WIVES/HUSBANDS LOVE IS THERE FOR CONDITIONAL.
hata naweza nikadiriki kusema Muumbaji hajakuumba bure Kuna conditions umepewa na yeye ukitoka nje yake anakuchoma moto Ila ukiziishi atafurahi kuwa anaye mwanaye wa pekee ataji proud mbele ya shetani kuwa unamuona huyu hapa ni mwanangu anayenitii.

Na hii dunia nothing is free yaani hata salamu haipo ya burebure tu mtu akusalimie from nowhere either moyo wake umekuelewa kwa namna yoyote Ile ama ana shida hata ya kuuliza even njia.
Nothing is free everything is all about TRADING na kwenye hii sekta wanawake wako VIZURI MNO YAANI MNO SIJAWAHI KUONA TOKEA NIIJUE TRADING IMENIFUNGUA MACHO JINSI ULIMWENGU UNAVYOFANYA KAZI.
Mwanamke always ana exchange her LOW VALUES IE HER EVERYTHING IS LOW VALUE WITH HIGH VALUE FROM MEN.
HATA JUA HALIANGAZI WITHOUT A REASON, EVEN MVUA INANYESHA WITH HIGH CALCULATED REASON. Kama hujui niulize nitakuelezea it's about science and physics.
Binadamu tunakulana like how animals are being eaten each other at the jungle wether you like or not.

Ni yao tu , Ila natumai viongozi watawapa ajira Mana kweli nyie ni walemavu ingawa Kuna jamaa akauliza swali kwangu naliona Kama halina mantiki eti ajira zinatolewa kiss ulemavu ama kwa competition kwani ajira zote zinazotolewa wote wako competent?
Ngoja aje awe mlemavu ndio ataanza kuuliza Hilo swali vizuri, watu wengine wanashindwa ku feel hisia za wengine kisa akakaa kwenye kiti kizuri ofisi Fulani anapigwa na ac ,yupo na mtt mzuri kwa ist yake, anakula samaki samaki palke akitoka amefanyiwa masaje akala kyuma nzuri basi anajiona dunia akaimaliza Fulani.
Kiongozi nakuombea mno utapata ajira angalau uitunze familia yako kaka.
Binafsi ni mganga sema mie naweza shuka jembe nikalima nikapata chakula hata wanangu wakala viazi na mchicha na uji wa ulezi na sukari nashukuru mno nature Sina namna ya ku pay it back.

Aisee watu wa system hebu lichekini hili suala bana ,watu wanapitia magumu na wakiona let say omary anavyosamabaza hela anaumia inabidi kuwe na equal sharing of our family food, sio lazima mlingane Ila mpenzi ajira hapo apate hata 1.5M per month atasogeza siku duniani Mana Basic needs atazimudu sema starehe hela haitotosha.

Mungu na muumbaji wa Kila kitu hata sisimizi unaeujua idadi ya nywele zetu please sikia kilio cha Wana wako hapa jukwaani.

Aum!!!!!!!!!!!!!
Kilio chetu hapa jukwaani, tunaomba wadau wasikie, angalau hata wafanye utafiti wa namna watu wenye mahitaji maalumu wanavyohangaika pamoja na kwamba Wana elimu nzuri
 
Back
Top Bottom