Hali ni mbaya usaili wa Kada ya ualimu, wasailiwa walala kwenye chumba cha usaili

majumba 6

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2020
Posts
250
Reaction score
703
Hali imeanza kuwa tete baada ya sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma kuanza kuajiri walimu Kwa kuwafanyia usaili " mchujo".

Wasailiwa waonyesha Hali ya kukata tamaa na kuamua kulala kwenye chumba cha usaili kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini;



 
Sasa kama ni wengi na chumba cha usaili ni kimoja watarajia nini?Kuna bwana mdogo mmoja aliwahipita mikono yangu ningali bado mwalimu darasani na nilipokutana naye mwaka jana alisema adaui yake ni interview kwani alishahudhuria kama sita na nyingi alishinda ila aliombwa milioni 2 kakosa.Kwa wajasiriamali kiasi hicho siyo mtaji mzuri katika mapambano?Imagine wewe umesha'cope' na maisha ya kupata riziki kitaa ukitupwa kijijini itakuchukua muda gani kucope na fursa za huko?
 
Kaombwa na nani? Utumishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…