Mjukuu wa Magika
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 550
- 1,071
Haya mambo wanafanyiwa sana watanzaniaSasa kama ni wengi na chumba cha usaili ni kimoja watarajia nini?Kuna bwana mdogo mmoja aliwahipita mikono yangu ningali bado mwalimu darasani na nilipokutana naye mwaka jana alisema adaui yake ni interview kwani alishahudhuria kama sita na nyingi alishinda ila aliombwa milioni 2 kakosa.Kwa wajasiriamali kiasi hicho siyo mtaji mzuri katika mapambano?Imagine wewe umesha'cope' na maisha ya kupata riziki kitaa ukitupwa kijijini itakuchukua muda gani kucope na fursa za huko?