Hali ni mbaya usaili wa Kada ya ualimu, wasailiwa walala kwenye chumba cha usaili

Haya mambo wanafanyiwa sana watanzania
 
Aiiiseee sasa hivi mnaonja joto ya jiwe km kada nyingine.
 
Hii ni dalili mbaya ya uwepo wa umasikini na ufukara katika jamii. Ni ukosefu wa akili na maarifa katika kutengeneza fursa za kujiajiri miongoni mwa wahitimu wengi. Hamuwezi kutemea kuajiriwa tu ndio maisha yaende kwa kuwa mmesomea fani/taaluma fulani halafu mnajitokeza kwa wingi namna hii huku nafasi ni chache. Inatakiwa muajiri akose wa kumuajiri mpaka aweke vivutio kupata waajiriwa, yaani wahitimu wawe na shughuli zao kiasi kwamba wasiweze kukimbilia kuajiriwa mauajiri alazimike kuweka salary scale ndefu kuvutia waajiriwa walau apate wachache wasio na kazi kwenda kuajiriwa
 

Attachments

  • Screenshot_20250112-141523_1.jpg
    202.2 KB · Views: 5
Namba inasomeka vilivyo
Mwezi wa 11 tutakuja na nyimbo zetu iyena iyena, sisiemu mbelekwambele!!
 
Ulichokiandika kinathibitisha ule usemi usemao kuwa mchawi sio lazima ushike matunguli
Weee watu wamekandwa sana tuu nyie mlikuwa mnaona wenzenu hawana akili kalieni moto muonje raha zake bwana.
 
Inawezekana waliolala wamewahi kumaliza. Ila wanaoendelea kuandika hawakijui wanachokiandika.
 
Hiyo picha bado haiwezi kuthibitisha kuwa kweli hali ni mbaya. Vipi kama picha ilipigwa wakati hao wanaonekana kulala au kuinama walikuwa tayari wamemaliza kufanya huo mtihani wa usaili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…