Hali ni tete Huko umakoloni

Hali ni tete Huko umakoloni

Haya sasa Mlete Mzungu kaondoka! Sijui nani mwingine atafuatia!! Maana kuna yule Nelson Okwa naye simuelewi elewi!

Namuona kama hana namba ya kudumu mpaka sasa!! Hivi ana maisha marefu kweli!! Bora hata sisi tunaosajili ndugu zetu kutoka DRC. Hawa jamaa hawana mambo mengi. Ni kutetema tu na kucharaza viboko.
 
Hatumtaki mo dewji, yule mihindi ni mjanja mjanja tu atuachie timu yetu. Tusipokua makini utopolo anaenda kuchukua ubingwa tena... muhindi amekaa kizembe zembe tu. Mo Dewj tuachie timu yetu.
 
Sisi tunasubiria kwa hamu Yanga amanuliwe nje ndani na Mwarabu,hayo mengine ni porojo
 
Haya sasa Mlete Mzungu kaondoka! Sijui nani mwingine atafuatia!! Maana kuna yule Nelson Okwa naye simuelewi elewi!

Namuona kama hana namba ya kudumu mpaka sasa!! Hivi ana maisha marefu kweli!! Bora hata sisi tunaosajili ndugu zetu kutoka DRC. Hawa jamaa hawana mambo mengi. Ni kutetema tu na kucharaza viboko.
Wana kiungo fundi mapafu ya mbwa Akpan
 
Hakuna kitu kama hicho, umbeya umekuzidi kama Malay.a wa Kinondoni
 
Simba ni genge la wahuni tu, Mwamedi kamtowa demu wake Barbara kwenye magodown yake kamleta Simba na kumuhonga UCEO, utasema hapo kuna timu?

Nishakukataza kumuonea wivu mwanamke bwana kigwa boy mbona husikii???haya basi mpe wewe mnduku mookama unaona babra anafaidwi
 
Acha umbumbumbu awa wachezaji fedha zao za signing fee wengi uwa wanalipwa Kwa installment Sasa mnakubaliana mtalipa Kwa mikupuo mingapi na Kwa muda wa miezi mingapi.
Hoja ya kusema kasajiliwa msimu uliopita Haina mashiko, kinachotakiwa kama anadai alipwe au aendelee kubembelezwa taratibu.
hahahaha.umesahau ile kauli ya mh mwenyekiti wa zamani na mbunge ismail aden rage kuwa mashabiki wa simba ni ..
 
Hivi hizi tabia za kikabwili mtaziacha lini nyie wana uto,maana unamuonea wivu sana Barbra
Simba ni genge la wahuni tu, Mwamedi kamtowa demu wake Barbara kwenye magodown yake kamleta Simba na kumuhonga UCEO, utasema hapo kuna timu?
 
Back
Top Bottom