Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
- Thread starter
- #21
Watazama [emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]Una ambiawa al Hilal wanafanya mazoezi chini ya bahari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watazama [emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]Una ambiawa al Hilal wanafanya mazoezi chini ya bahari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ulifanya mazoezi na majini/wachawi na ukapakatwa vizur itakua hao mbwehaUna ambiawa al Hilal wanafanya mazoezi chini ya bahari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndio mbumbumbu og sasaSawa mama mdogo nimekusikia..una lingine la kuutangazia umma?
Kama we' ndiye mke wake umesema, sie tutabishajeee!!!?Aliliipwa nusu, anataka chake kilichiobaki, kachoka na danadana za Mudi
Siiachi bado sijapata Faida yeyoteHatumtaki mo dewji, yule mihindi ni mjanja mjanja tu atuachie timu yetu. Tusipokua makini utopolo anaenda kuchukua ubingwa tena... muhindi amekaa kizembe zembe tu. Mo Dewj tuachie timu yetu.
Wana kiungo fundi mapafu ya mbwa AkpanHaya sasa Mlete Mzungu kaondoka! Sijui nani mwingine atafuatia!! Maana kuna yule Nelson Okwa naye simuelewi elewi!
Namuona kama hana namba ya kudumu mpaka sasa!! Hivi ana maisha marefu kweli!! Bora hata sisi tunaosajili ndugu zetu kutoka DRC. Hawa jamaa hawana mambo mengi. Ni kutetema tu na kucharaza viboko.
Hii wewe umeipata wapi?
Huku akisaidiana kwa karibu na kiungo punda Mzamiru Yassin, kiungo nungunungu Jonas Mkude, na kiungo konokono Clotus Chota Chama!!Wana kiungo fundi mapafu ya mbwa Akpan
Aliliipwa nusu, anataka chake kilichiobaki, kachoka na danadana za Mudi
Simba ni genge la wahuni tu, Mwamedi kamtowa demu wake Barbara kwenye magodown yake kamleta Simba na kumuhonga UCEO, utasema hapo kuna timu?
Bahati mbaya mpira unachezwa uwanjaniUna ambiawa al Hilal wanafanya mazoezi chini ya bahari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MKUU UNAOTA UKIONA CHOO USIKOJE NI MTEGO HUOSisi tunasubiria kwa hamu Yanga amanuliwe nje ndani na Mwarabu,hayo mengine ni porojo
hahahaha.umesahau ile kauli ya mh mwenyekiti wa zamani na mbunge ismail aden rage kuwa mashabiki wa simba ni ..Acha umbumbumbu awa wachezaji fedha zao za signing fee wengi uwa wanalipwa Kwa installment Sasa mnakubaliana mtalipa Kwa mikupuo mingapi na Kwa muda wa miezi mingapi.
Hoja ya kusema kasajiliwa msimu uliopita Haina mashiko, kinachotakiwa kama anadai alipwe au aendelee kubembelezwa taratibu.
Simba ni genge la wahuni tu, Mwamedi kamtowa demu wake Barbara kwenye magodown yake kamleta Simba na kumuhonga UCEO, utasema hapo kuna timu?