Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Baada ya jana Yanga kushinda south Afrika imezua taharuki kwenye kipindi cha EFM ambacho pundit wote waliitabiria Yanga kupigwa kipigo cha mbwa mwizi south afrika
Swali ni kwamba wataongea nin????
Kwenye maisha tukubali kuwa na akiba ya maneno bin kazumari, geof leah hakuna aliyetweet chochote baada ya Yanga kushinda na kuingia fainal ya kihistoria
Swali kama Yanga angefungwa wangekaa kimya kama walivyofanya
Tanzania hakuna profesionalism
Kwenye maisha tujifunze utofauti wa stori za vijiweni na ukiwa kazin, lakin Tanzania story za vijiweni tunazipeleka mpaka kazin sehemu ambayo professionalism inatakiwa