Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Huwa nasema hapa kila siku mchambuzi wa mpira Tanzania ni Dr Rick tu na si vinginevyo.MAJANGA KATIKA MEDIA ZA MICHEo.
Wachambuzi na wanahabari wa MICHEZO Tanzania, Wengi wao hawana Akili.
1. Wao WAMEACHA UCHAMBUZI wamekimbilia kwenye UBASHIRI.
WAMEJIPA KAZI YA SHEICK YAHAYA.
WANAAIBIKA MNO.
2. Wameendekeza Mapenzi ya VILABU vya karikoo.
Wamejigawa Katika SIMBA na YANGA.
3.WENGI WAO HAWAJUI LUGHA.
kiswahili kinawashinda, kiingereza ndio USISEME.
4. Asilimia 99 ya wachambuzi hawajacheza mpira Wala hawana Elimu ya UKOCHA.
Vipindi vya MICHEZO E fm vipo viwili.
E sport
Sport HQ
WACHAMBUZI WOTE INABIDI WAWE NA ELIMU YA UKOCHA ANGALAU DIPLOMA .
HAWA WATU INABIDI WARUDI SHULE AISEE.
HILI NI JANGA LA KITAIFA.
Wabongo tuna safari ndefu katika swala zima la watu wa kada tofauti kujua wajibu wao wakiwa wanazungumza.Inashangaza sana mwana habari za michezo kuchagua timu ya kuitolea/kuacha kuitolea habari.
Mchambuzi unakuwaje na mahaba na timu fulan mpaka inafahamika sana
Umemaliza Kila kitu Mkuu. Kuna siku ukiongelea ukanjanja wa Jemadari Said watu wanakushambulia, lakini afadhali wewe umesema kinachoonekana.MAJANGA KATIKA MEDIA ZA MICHEo.
Wachambuzi na wanahabari wa MICHEZO Tanzania, Wengi wao hawana Akili.
1. Wao WAMEACHA UCHAMBUZI wamekimbilia kwenye UBASHIRI.
WAMEJIPA KAZI YA SHEICK YAHAYA.
WANAAIBIKA MNO.
2. Wameendekeza Mapenzi ya VILABU vya karikoo.
Wamejigawa Katika SIMBA na YANGA.
3.WENGI WAO HAWAJUI LUGHA.
kiswahili kinawashinda, kiingereza ndio USISEME.
4. Asilimia 99 ya wachambuzi hawajacheza mpira Wala hawana Elimu ya UKOCHA.
Vipindi vya MICHEZO E fm vipo viwili.
E sport
Sport HQ
WACHAMBUZI WOTE INABIDI WAWE NA ELIMU YA UKOCHA ANGALAU DIPLOMA .
HAWA WATU INABIDI WARUDI SHULE AISEE.
HILI NI JANGA LA KITAIFA.
Jamaa wajinga sana aiseeBaada ya jana Yanga kushinda south Afrika imezua taharuki kwenye kipindi cha EFM ambacho pundit wote waliitabiria Yanga kupigwa kipigo cha mbwa mwizi south afrika
Swali ni kwamba wataongea nin????
Kwenye maisha tukubali kuwa na akiba ya maneno bin kazumari, geof leah hakuna aliyetweet chochote baada ya Yanga kushinda na kuingia fainal ya kihistoria
Swali kama Yanga angefungwa wangekaa kimya kama walivyofanya
Tanzania hakuna profesionalism
Kwenye maisha tujifunze utofauti wa stori za vijiweni na ukiwa kazin, lakin Tanzania story za vijiweni tunazipeleka mpaka kazin sehemu ambayo professionalism inatakiwa
Jemedari said ana pretend kujua wakati ni mtupu tu. Nakumbuka alivyoshadadia ile issue ya RIVERS dahBaada ya jana Yanga kushinda south Afrika imezua taharuki kwenye kipindi cha EFM ambacho pundit wote waliitabiria Yanga kupigwa kipigo cha mbwa mwizi south afrika
Swali ni kwamba wataongea nin????
Kwenye maisha tukubali kuwa na akiba ya maneno bin kazumari, geof leah hakuna aliyetweet chochote baada ya Yanga kushinda na kuingia fainal ya kihistoria
Swali kama Yanga angefungwa wangekaa kimya kama walivyofanya
Tanzania hakuna profesionalism
Kwenye maisha tujifunze utofauti wa stori za vijiweni na ukiwa kazin, lakin Tanzania story za vijiweni tunazipeleka mpaka kazin sehemu ambayo professionalism inatakiwa
Ni mchambuzi anayetumia hisia jamaa ni wakawaida sana kuna mda unajiuliza alipataje kazi au kulikua hamna interview alipata kwa mchongoJemedari said ana pretend kujua wakati ni mtupu tu. Nakumbuka alivyoshadadia ile issue ya RIVERS dah
💪✅Huwa nasema hapa kila siku mchambuzi wa mpira Tanzania ni Dr Rick tu na si vinginevyo.
Mwl.Kashashaa.....RIPHuwa nasema hapa kila siku mchambuzi wa mpira Tanzania ni Dr Rick tu na si vinginevyo.
Ukanjanja mwingi sana.Baada ya jana Yanga kushinda south Afrika imezua taharuki kwenye kipindi cha EFM ambacho pundit wote waliitabiria Yanga kupigwa kipigo cha mbwa mwizi south afrika