Hali ni tete

Hali ni tete

Usirogwe kukopesha mtu zama hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani umesema kweli, nina jirani yangu mzee mstaafu, juzi Jumamosi aliniomba elfu tano akasema kuwa hela zake ziko kwenye m-pesa mtandao unasumbua hivyo nimpe atanirudishia akitoa kwenye empetha, lakini tokea siku hiyo tunasalimiana hata leo asubuhi nimemsalimia lakini hata haongelei mtonyo wangu, na mie siwezi kumdai ni mtu mzima!!!!🙁🙁🙁🙁🙁🙁
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja me niendelee tuu mchana huu[emoji482] [emoji482] [emoji482]
 
Kumbe! Ndio maana watu tunawahi kulala siku hizi. Number za kirumi hizi.
 
Yaani umesema kweli, nina jirani yangu mzee mstaafu, juzi Jumamosi aliniomba elfu tano akasema kuwa hela zake ziko kwenye m-pesa mtandao unasumbua hivyo nimpe atanirudishia akitoa kwenye empetha, lakini tokea siku hiyo tunasalimiana hata leo asubuhi nimemsalimia lakini hata haongelei mtonyo wangu, na mie siwezi kumdai ni mtu mzima!!!!🙁🙁🙁🙁🙁🙁
Ahahhah umenikumbusha kitu kuna siku na mm jirani kanikopa elf 5 jaman woiii nitakurudishia kesho mpaka leo hajarudisha na tunaonana kila siku na tunaongea kama kawaida ujue shida haziishi ipo siku tu anaweza pata shida kubwa tu
 
hhahahah, yaani shoga yangu hata mie huyu mzee yaani haoneshi hata dalili kuwa namdai, tena ananisalimia kwa uchangamfu kweli! hahahahahahahahahaahha.
 
Ahahhahah kama huyu nae hivyo hivyo kwanza alivyokuja alitaka nimpe elf 10 nikafikilia nikasema ebu ngoja nimwambie sina nina elf 5 huyu anaweza asirudishe hii hela yaaan nilivyowaza mule mule jaman
 
hahaha JPM huyuuuu
 
ccdc18f6a9c4db214a823fea3beaa4cc.jpg

Karibuni tule makinikia
 
Back
Top Bottom