Yaani umesema kweli, nina jirani yangu mzee mstaafu, juzi Jumamosi aliniomba elfu tano akasema kuwa hela zake ziko kwenye m-pesa mtandao unasumbua hivyo nimpe atanirudishia akitoa kwenye empetha, lakini tokea siku hiyo tunasalimiana hata leo asubuhi nimemsalimia lakini hata haongelei mtonyo wangu, na mie siwezi kumdai ni mtu mzima!!!!🙁🙁🙁🙁🙁🙁