Yaani umesema kweli, nina jirani yangu mzee mstaafu, juzi Jumamosi aliniomba elfu tano akasema kuwa hela zake ziko kwenye m-pesa mtandao unasumbua hivyo nimpe atanirudishia akitoa kwenye empetha, lakini tokea siku hiyo tunasalimiana hata leo asubuhi nimemsalimia lakini hata haongelei mtonyo wangu, na mie siwezi kumdai ni mtu mzima!!!!ππππππ
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja me niendelee tuu mchana huu[emoji482] [emoji482] [emoji482]Yaani umesema kweli, nina jirani yangu mzee mstaafu, juzi Jumamosi aliniomba elfu tano akasema kuwa hela zake ziko kwenye m-pesa mtandao unasumbua hivyo nimpe atanirudishia akitoa kwenye empetha, lakini tokea siku hiyo tunasalimiana hata leo asubuhi nimemsalimia lakini hata haongelei mtonyo wangu, na mie siwezi kumdai ni mtu mzima!!!!ππππππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe! Ndio maana watu tunawahi kulala siku hizi. Number za kirumi hizi.
Ahahhah umenikumbusha kitu kuna siku na mm jirani kanikopa elf 5 jaman woiii nitakurudishia kesho mpaka leo hajarudisha na tunaonana kila siku na tunaongea kama kawaida ujue shida haziishi ipo siku tu anaweza pata shida kubwa tuYaani umesema kweli, nina jirani yangu mzee mstaafu, juzi Jumamosi aliniomba elfu tano akasema kuwa hela zake ziko kwenye m-pesa mtandao unasumbua hivyo nimpe atanirudishia akitoa kwenye empetha, lakini tokea siku hiyo tunasalimiana hata leo asubuhi nimemsalimia lakini hata haongelei mtonyo wangu, na mie siwezi kumdai ni mtu mzima!!!!ππππππ
hahahahhhah, wee endelea tu bwana! haahahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja me niendelee tuu mchana huu[emoji482] [emoji482] [emoji482]
hhahahah, yaani shoga yangu hata mie huyu mzee yaani haoneshi hata dalili kuwa namdai, tena ananisalimia kwa uchangamfu kweli! hahahahahahahahahaahha.Ahahhah umenikumbusha kitu kuna siku na mm jirani kanikopa elf 5 jaman woiii nitakurudishia kesho mpaka leo hajarudisha na tunaonana kila siku na tunaongea kama kawaida ujue shida haziishi ipo siku tu anaweza pata shida kubwa tu
Ahahhahah kama huyu nae hivyo hivyo kwanza alivyokuja alitaka nimpe elf 10 nikafikilia nikasema ebu ngoja nimwambie sina nina elf 5 huyu anaweza asirudishe hii hela yaaan nilivyowaza mule mule jamanhhahahah, yaani shoga yangu hata mie huyu mzee yaani haoneshi hata dalili kuwa namdai, tena ananisalimia kwa uchangamfu kweli! hahahahahahahahahaahha.
hahaha JPM huyuuuuAhahhahah kama huyu nae hivyo hivyo kwanza alivyokuja alitaka nimpe elf 10 nikafikilia nikasema ebu ngoja nimwambie sina nina elf 5 huyu anaweza asirudishe hii hela yaaan nilivyowaza mule mule jaman
ππππππππππKumbe! Ndio maana watu tunawahi kulala siku hizi. Number za kirumi hizi.
Sio times new bongo kwenda bongobahatimbaya.NAMBA SASA INABADILISHWA FONT KUWA TREBUNET MS, TOKA TIMES NEW ROMAN