Pozzers
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 337
- 560
Sema uzuri Wa hizi namba tunasoma wote hata wale waliokuwa wanawaimbia wenzao kwa kejeli 2015. Ahsante mh Rais Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukilala mchana usiku huwezi kupata usingizi abadani na kitakachotokea ni kama yaliyokukuta mkuuJana sijalala kabisa, nahesabu mapaa tu
Halafu nnachomkubali wala hana presha, huenda hajui kama namba imerudiwa kwa rangi nyekundu halafu wameibold.Sema uzuri Wa hizi namba tunasoma wote hata wale waliokuwa wanawaimbia wenzao kwa kejeli 2015. Ahsante mh Rais Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu anavyojisifu kwa ushindi wa kura nyingi za uraisi walizompa utadhani alipata 99% kumbe ndiye raisi wa kwanza kupata chini ya 60%Sema uzuri Wa hizi namba tunasoma wote hata wale waliokuwa wanawaimbia wenzao kwa kejeli 2015. Ahsante mh Rais Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajidanganya kama unadhani namba zinasomwa na wote... Ukiwa mpendwa wa mkuu unapeta tu, naskia kuna watu wanalipana posho za kufuruSema uzuri Wa hizi namba tunasoma wote hata wale waliokuwa wanawaimbia wenzao kwa kejeli 2015. Ahsante mh Rais Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi mkuu, nilikopesha mtu najuta sana
Kasoro BashiteSema uzuri Wa hizi namba tunasoma wote hata wale waliokuwa wanawaimbia wenzao kwa kejeli 2015. Ahsante mh Rais Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi Hadija Kopa yuko wapi siku hiziSema uzuri Wa hizi namba tunasoma wote hata wale waliokuwa wanawaimbia wenzao kwa kejeli 2015. Ahsante mh Rais Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app