Hali ninayokutana nayo katika Biashara inatisha nimefunga biashara 3 nimebakiza moja inayopumulia mipira, Msaada wa kiroho unahitajika

Hiyo ndoto ya kuota upo shule unafanya mtihani mbaya sana ,ikikutokea ujue kama umepigwa handbrake kila kitu ukifanya kinateleza ilishanitokeaga hiyo, tena inajirudia rudia
Mimi siku nimepata ajar niliota nafanya mtiani nipo chumba kimoja na mdogo angu mtiani wa chemistry Ila maswali yalinishinda nikawa nimemwomba mdogo wangu wa kiume toka ni toke ni mtabe wa chemistry na physics akawa kanipa majibu muda ukawa mchache wa kukopi MAJIBU baadae nikashitula usingizini..

Ilinifikilisha sana wife alikua kaenda kazini Mimi nikaamka kujiandaa na sikufanikiwa kumwambia mtu jioni narud mishemishe nafika hapo BANDARINI nagongwa na gari na kuvunjika mguu for more details Kuna Uzi wangu humu.

Baadae nikasimulia Ile ndoto after three weeks mdogo angu na yeye akapata ajari akavunjika BEGA mpaka Sasa ana plates

Hizi ndoto huwaga ni mbaya Sanaa Tena sanaa
 
Sioni cha kunilipa mimi kama mtaalamu maana ushafilisika, kwa tathmini ya haraka huna pesa ya kupata mtaalam kama mimi labda upate waongo tu nakuashauri nenda kwa walokole tu.
 
Mashart sio tatzo, tatzo no je unapotoka huko unakuwa unajua umejiunganisha na madhabahu zipi katika kupona?

Shetani hashindwi kukupa 1 kisha akachukua 2, wapo wanaotumikia madhabahu ya kichawi na ushirikina pasipo wao kujijua sasa kuna haja gani kutumikia ushirikina paspo kujijua? Si bora nifanye nikiwa na utimamu wangu kipi ntumikia pengine nitakuwa salama na huru zaidi
 
Dah....!

Umelogwa....! Tatizo la Mchawi, anafurahi kweli ukienda Kwa Mganga wa Kienyeji, kuliko ukienda Kanisani.

Kwa sababu Vita na Mganga anaweza kupigana, coz nguvu za Giza zinazidiana...!

Inapokuja Kwa Nguvu ya Mungu, hakuna Nguvu ya Giza inayozidi Nguvu ya Mungu.

Uchaguzi ni wako.
 
Wewe ni mbishi Endelea na mambo yako usitusumbue Wala kujaza sever za JF😇

Siku zoteee mwomba msaada ni msikivu na atapokea kila ushauri na kuuchuja kupata ushauri mzur sanaa wenye kumsaidia Inashangaza Sana kuona mtu anapewa ushauri then anaanza kaubishani flani
 
Pole Pole sana kwa hayo ,siku zile kwenye uzi wako watu wanakuuliza unafanya biashara gani na inaendaje ukawa unafichaficha Mara njoo PM nako ukawa haujibu ,basi karma imekurudisha kwetu na sisi bila hiyana tunakupa pole na kukupokea kwa mikono miwili kama mfirisika .

Sasa kwakuwa tumekusamehe bure maana haukujua dunia duara ,natumia wasaa huu kukuomba ikiwa unamuamini Mungu basi niko tayari kukuombea na ukawa sawa tena kwa kufanya vipi ,nahitaji niandike maneno ya uponyaji hapa ambavyo utayasoma Mara kumi na hakika hautakuwa mfirisika tena kuanzia pale utakopohitimisha usomaji wa maneno hayo .
Je uko tayari mfirisika ? Ikiwa upo tayari nijibu
 



Pole Sana mkuu
 
Kuota ndoto uko shule ya msingi ni ishara mbaya mno maana ya hii ndoto ni mambo yako hayatosonga mbele na kuwa tegemezi kama mwanafunzi imagine una miaka 30 sasa hv still uwe kama mwanafunz wats next...msioamin uchaw hii comment haiwahusu
 
Uko sahihi ndoto mbaya mno hii wengi wanaota na kuipuuzia hii ndoto..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…