Tetesi: Hali si hali Halmashauri ya jiji la Arusha

Tetesi: Hali si hali Halmashauri ya jiji la Arusha

Mtoa mada jaribu kujifunza kutoa taarifa kwa usahihi kisha waache wasomaji watoe maoni yao kadiri watakavyoelewa mada uliyowasilisha.

Mbona unakuwa kama Le profeseri OSOROO! Yaani unawasilisha taarifa halafu na wewe unatoa hukumu hapo hapo, huo sio weledi. Acha ukweli uongee wenyewe.

Mfano: watu wa Arusha walipochagua Chadema ina maana waliona inafaa zaidi kuliko CCM, hivyo sio rahisi kuwaaminisha wana Arusha kuwa....Nyekundu ni Nyeusi, na KIJANI NI NYEUPE.....NO, hilo halipo na halitakuja kutokea siku za hapa karibuni.

Kifupi wananchi wa Arusha wanajitambua na wajua uovu wa CCM! Mfano mzuri ni GAMBO WA CCM kuiba Rambi rambi za wafiwa kwa wale watoto. JE HADI HAPO NANI ANAWEZA IAMINI TENA CCM??

Usitumike vibayaaa!
Well said. Waache ccm wafanye uujinga wao but we'll meet tena 2020. Na kura ibeni Dodoma hapa marufuku

Cc: gambo
 
Mkurugenzi kawazidi kete...hawa madiwani wa chadema walitaka wajigawie hhaya maduka ili waanze kupiga hela kwa kuyakodisha...wamesahau kuna watu walitoa fedha zao kuyajenga...eti sasa hivi wanataka kumilikishana kikabila na kichama zaidi.
 
Katika thread hii naweza kusikia harufu ya Mrisho Gambo kwa 99.9999%
Watanzania na Wana CHADEMA wanajua kinachoendelea ndani ya Jiji la Arusha and watching. Hizi siasa za CCM za kihuni za kujaribu kuvuruga au ku-provoke CHADEMA ili wakasirika na waonekana ni wakorofi ni siasa mfilisi zilizopitwa na wakti.
Tunajua Magufuli anatumia hila na nguvu nyingi sana kwenye majimbo, Majiji na Halmashauri zinazoongozwa na Upinzani ili kuvuruga na kuua nguvu ya upinzani!!!!!

Angalia kilichofanyika Moshi(Halmashauri inayoongozwa na CHADEMA for the last 20 years), baada ya Merck Sadik kwa maksudi kabisa bila aibu kamteua Anne Mghwira mpinzani toka ACT-Wazalendo ili kwenda kuwagonganisha CHADEMA na ACT-Wazalendo ili kuweka mazingira ya CCM kuchukua halmashauri ya Moshi kwa siku za usoni. Magufuli anashangaza sana pale anapojinasibu kuwa, MAENDELEO HAYANA CHAMA lakini wakti huohuo ANATAKA CCM NDIYO IENDELEE KUTAWALA! This is absurd and non sense. Hii cartoon ya GADO inaonyesha undumila kuwili wa Magufuli.

upload_2017-6-15_16-46-57-jpeg.524447
 
Pili tunapenda kuwakumbusha madiwani wa Chadema ya kwamba ilani inayotekelezwa kwa sasa ni ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwani ndicho chama kilichopewa ridhaa na wananchi mpaka mwaka 2020.
Kinachotakiwa ni maendeleo ilani za vyama vyote iwe ya vyama vya upinzani iwe ya CCM zote ukizisoma zinazungumuzia maendeleo,madiwani wa CHADEMA wakitumia ilani yao kuleta maendeleo katika eneo wanaloliongoza Kuna tatizo gani? Wakati kinachotakiwa ni maendeleo.
 
Kwahao hainajinsi lazima watekeleze ya ccm
Hivi kwa jinsi ulivyoiwasilisha hii hoja hujabaini kuwa haifanani na unaowaandikia? Aina ya watu wenye mawazo finyu na uwezo mdogo kama wako walishahama humu na hata hapo Arusha hawatoshei!
Wewe ni nani katika suala la ulinzi na amani ya Arusha? Gambo kasafiri na amekukasimu ofisi? Jifunze jinsi ya jufanya lobbying na propaganda japo naiona elimu yako nusu kijiko. Kama upo katika kundi la wapiga ramli wa ccm hapo Arusha jitoe kwani itakuharibia soko la hiyo bidhaa yako. Makinikia mkubwa wewe!
 
Back
Top Bottom