Kipapatiro
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 1,129
- 1,497
Well said. Waache ccm wafanye uujinga wao but we'll meet tena 2020. Na kura ibeni Dodoma hapa marufukuMtoa mada jaribu kujifunza kutoa taarifa kwa usahihi kisha waache wasomaji watoe maoni yao kadiri watakavyoelewa mada uliyowasilisha.
Mbona unakuwa kama Le profeseri OSOROO! Yaani unawasilisha taarifa halafu na wewe unatoa hukumu hapo hapo, huo sio weledi. Acha ukweli uongee wenyewe.
Mfano: watu wa Arusha walipochagua Chadema ina maana waliona inafaa zaidi kuliko CCM, hivyo sio rahisi kuwaaminisha wana Arusha kuwa....Nyekundu ni Nyeusi, na KIJANI NI NYEUPE.....NO, hilo halipo na halitakuja kutokea siku za hapa karibuni.
Kifupi wananchi wa Arusha wanajitambua na wajua uovu wa CCM! Mfano mzuri ni GAMBO WA CCM kuiba Rambi rambi za wafiwa kwa wale watoto. JE HADI HAPO NANI ANAWEZA IAMINI TENA CCM??
Usitumike vibayaaa!
Cc: gambo