sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Anajichanganya hiyo sio levo yake,Kazi ya Katambi ni kumtukana Lisu na Mbowe sio kuleta maendeleo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajichanganya hiyo sio levo yake,Kazi ya Katambi ni kumtukana Lisu na Mbowe sio kuleta maendeleo.
👇Tutampeleka Diamond,atakubalika tu...
Ameahidiwa kuwa endapo CCM ikishinda Urais atapatiwa nafasi ya Ubalozi au nyingine tamutamu.
Masele hana tatizo na hilo. Lakini, wafuasi na wasukamipango wake wamegoma 'kumruhusu' kumsaidia Katambi wakidai kuwa Katambi hauziki hata kama utapigwa na muziki.
Hili Jimbo imekuwa ikishinda kwa mazabe mazabe tu. Toka 2010 eti Shelembi kazidiwa kura moja usenge mtupu.Badala ya kutangaza sera za chama chake, yeye anaendekeza matusi..........
Na hiyo ndiyo itakayowa-cost vibaya sana, hadi hilo jimbo walipe mkono wa Bye Bye
CCM imekataliwa mpaka Mdabulo huko kwenye mashamba ya mbaoHakuna magahali ccm inatakiwa...
Zile nyundo za Lissu zitamuuaMwenyekiti jana usiku alipata kipanda uso.
Magufuli akijidanganya kubadili katiba kupinduliwa itakuwa asubuhi tu hatamaliza hata miaka mitano ya udikteta wake.CCM ilizaliwa mwaka 1977, kama tulivyo sisi binadamu, na yenyewe itafikia siku itakufa tu! Ni Tanzania pekee ndiyo itakayobakia milele.Dalili zipo wazi.
Hata kama Magufuli ataamua kuvunja katiba mwaka 2025 na kutawala milele, siku atakapo ondoka madarakani aidha kwa kifo au hata kwa kupinduliwa kama rafiki yake Saddam Hussein wa Quwait,
mtifuano kati ya CCM Asili dhidi ya CCM Makinikia, hautakiacha hicho chama salama!
Kitajifia tu! Na siku hiyo ya kifo cha CCM, hakika nitafanya sherehe.
Yaani wapinzani wachukue Membe ? Acha bangi weweUMMA WOTE TUNAJUA CHADEMA BADO MNA BIFU KUBWA KWA KATAMBI NA HUU UZI NI MOJA YA MIKAKATI YENU ILI KUMFIGISHA KATAMBI.
LAKINI UKWELI NI KWAMBA SHINYANGA IKO NA KATAMBI.
MLIUHADAA ULIMWENGU KWAMBA MKO NA MEMBE, MBONA HATUWAONI??
WANAFIKI WA TAIFA NYIE!
CCM hawajali hilo kwa sababu sasa hivi hawapiganii maslahi ya wananchi tena bali ni maslahi ya chama.Naamini ni ujinga, kama anateuliwa mtu kwa vile anauwezo wa kuongea mbovu, anakitetea chama bila kujali, tuwaridhishe kundi la wasanii, ni ulofa, kazi ya huko ni zaidi ya mambo hayo, kuna kuchambua mambo na kushauri, sasa hii itapelekea kutungwa kwa sheria mbovu kama zile za takwimu!
Hivi una uhakika na unachokisema?Hali ni tete kwa mgombea wetu wa CCM hapa katika Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi. Katambi ambaye alikataliwa na 'Wajumbe' wakati wa kura za maoni ndani ya CCM, alipitishwa 'kibabe' na Kamati Kuu na NEC ya CCM kule Dodoma. Katambi, katika kura za maoni, aliachwa mbali mno na aliyekuwa Mbunge wa hapa Steven Masele ambaye jina lake lilikatwa Dodoma.
Katika kuonesha kinyongo kisicho na uongo, makada wa CCM hapa Shinyanga Mjini wamekuwa wakijitenga na Katambi hadharani na sirini. Katika harakati za kuokoa jahazi na kuulinda ushindi wa CCM, Mbunge wa zamani Masele 'ameombwa' na viongozi waandamizi wa CCM Taifa kumsaidia Katambi katika kampeni zake. Ameahidiwa kuwa endapo CCM ikishinda Urais atapatiwa nafasi ya Ubalozi au nyingine tamutamu.
Masele hana tatizo na hilo. Lakini, wafuasi na wasukamipango wake wamegoma 'kumruhusu' kumsaidia Katambi wakidai kuwa Katambi hauziki hata kama utapigwa na muziki. Pamoja na kwamba CCM ndiyo watetezi wa hapa Shinyanga Mjini, hali yetu si nzuri kulingana na taswira iliyochorwa ya mgombea wetu. Katambi anatajwa kama asiye na ushawishi wowote na kusemwa kuwa 'anatakiwa' tu Bungeni kwenda kuwaongelea mbovu wapinzani.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Shinyanga Mjini)
Chadema juu Tundu Lissu juu...... Wapeleke mchakamchaka Mpaka kielewekeCCM imekataliwa mpaka Mdabulo huko kwenye mashamba ya mbao
Mzee Tuoa tupa shaloomHali ni tete kwa mgombea wetu wa CCM hapa katika Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi. Katambi ambaye alikataliwa na 'Wajumbe' wakati wa kura za maoni ndani ya CCM, alipitishwa 'kibabe' na Kamati Kuu na NEC ya CCM kule Dodoma. Katambi, katika kura za maoni, aliachwa mbali mno na aliyekuwa Mbunge wa hapa Steven Masele ambaye jina lake lilikatwa Dodoma.
Katika kuonesha kinyongo kisicho na uongo, makada wa CCM hapa Shinyanga Mjini wamekuwa wakijitenga na Katambi hadharani na sirini. Katika harakati za kuokoa jahazi na kuulinda ushindi wa CCM, Mbunge wa zamani Masele 'ameombwa' na viongozi waandamizi wa CCM Taifa kumsaidia Katambi katika kampeni zake. Ameahidiwa kuwa endapo CCM ikishinda Urais atapatiwa nafasi ya Ubalozi au nyingine tamutamu.
Masele hana tatizo na hilo. Lakini, wafuasi na wasukamipango wake wamegoma 'kumruhusu' kumsaidia Katambi wakidai kuwa Katambi hauziki hata kama utapigwa na muziki. Pamoja na kwamba CCM ndiyo watetezi wa hapa Shinyanga Mjini, hali yetu si nzuri kulingana na taswira iliyochorwa ya mgombea wetu. Katambi anatajwa kama asiye na ushawishi wowote na kusemwa kuwa 'anatakiwa' tu Bungeni kwenda kuwaongelea mbovu wapinzani.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Shinyanga Mjini)
Dhambi ya usaliti inaendelea kumtafuna.Hali ni tete kwa mgombea wetu wa CCM hapa katika Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi. Katambi ambaye alikataliwa na 'Wajumbe' wakati wa kura za maoni ndani ya CCM, alipitishwa 'kibabe' na Kamati Kuu na NEC ya CCM kule Dodoma. Katambi, katika kura za maoni, aliachwa mbali mno na aliyekuwa Mbunge wa hapa Steven Masele ambaye jina lake lilikatwa Dodoma.
Katika kuonesha kinyongo kisicho na uongo, makada wa CCM hapa Shinyanga Mjini wamekuwa wakijitenga na Katambi hadharani na sirini. Katika harakati za kuokoa jahazi na kuulinda ushindi wa CCM, Mbunge wa zamani Masele 'ameombwa' na viongozi waandamizi wa CCM Taifa kumsaidia Katambi katika kampeni zake. Ameahidiwa kuwa endapo CCM ikishinda Urais atapatiwa nafasi ya Ubalozi au nyingine tamutamu.
Masele hana tatizo na hilo. Lakini, wafuasi na wasukamipango wake wamegoma 'kumruhusu' kumsaidia Katambi wakidai kuwa Katambi hauziki hata kama utapigwa na muziki. Pamoja na kwamba CCM ndiyo watetezi wa hapa Shinyanga Mjini, hali yetu si nzuri kulingana na taswira iliyochorwa ya mgombea wetu. Katambi anatajwa kama asiye na ushawishi wowote na kusemwa kuwa 'anatakiwa' tu Bungeni kwenda kuwaongelea mbovu wapinzani.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Shinyanga Mjini)
Hali ni tete kwa mgombea wetu wa CCM hapa katika Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi. Katambi ambaye alikataliwa na 'Wajumbe' wakati wa kura za maoni ndani ya CCM, alipitishwa 'kibabe' na Kamati Kuu na NEC ya CCM kule Dodoma. Katambi, katika kura za maoni, aliachwa mbali mno na aliyekuwa Mbunge wa hapa Steven Masele ambaye jina lake lilikatwa Dodoma.

Hali ikoje twambie mkuu maana hapa tuko shinyanga au mwenzetu uko shinyanga ya Birmingham

Pesa atoe wapi nyie mliokusanya kodi mbona mnazitapanya kwenye kampeni badala ya maendeleoHali ni mbaya wapi.mnakaa kwenye vijiwe vya kahawa na kwenye mapool table na kujipa moyo mnashinda..huyo mgombea wenu kafanya mkutano 1 tangu kampeni zianze.pesa hata ya kuandaa mkutano hana.unajitekenya mwenyewe kisha unacheka mwenyewe huo ni uzwazwa
Na wanaccm wamnamjua vizuri ngoja asubiri matokeo yatakayomshangaza baada ya yale ya wajumbe.This is good news....!!!
Katambi hastahili kupewa hata Ukatibu Kata. Huyu jamaa ni mwongo, mzandiki, mnafiki na nyoka na ndumila kuwili. Acha apambane na hali yake.......Pambaf zake.
Sisi ndiyo NATIVES wa Shinyanga....
Wewe sijui uko wapi. Lakini ulichokisema, ndiyo hali halisi hapa. CCM na Patrobas Katambi kushinda jimbo hili itakuwa ni sawa na ng'ombe apenye kwenye tundu la sindano....!
Salome Makamba na CHADEMA washindwe wenyewe kulitwaa jimbo hili...